nelly nely
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 665
- 229
kwenye top ten usikose maana hii
Ekislent, Katavi...............haya.
Avator kiumeni!dah.....iyo signature yako.........
Thanks mkuu kuniweka top ten,ila mimi namkubali Jaguar
ekiselenti mkali,ila kuna wengine wakali kama yeye kama ousofia,jaguar
Mh!but mimi nawapa 100% excellent na Bujibuji.aaa jaguar mkali awez kosa mkuu!
Mh!but mimi nawapa 100% excellent na Bujibuji.
halafu kuna top ten ya jokes zilizofeli!!!Me top 10 yangu ni hii
1]excelent
2]jaguar
3]bujibuji
4]ousofia
5]mentor
6]chatu dume
7]shossi
8]katavi
9]viper
10]mohamed