Nani Mhusika Mkuu wa Mauaji 2001?

Ukweli ni huu... wazanzibari waliuana wenyewe. Mkapa wala hakuagiza mauaji yafanyike. Pale watu wanapoamua kuwakabili polisi na mawe bila kujua kuwa polisi wana risasi kwanza za moto, walikuwa wanafikiria nini? Aliyewaambia wananchi wawapige polisi au wakatae kutii amri, anahusika moja kwa moja na hao si wengine bali viongozi wa CUF. Kama ushindi umeporwa na ushahidi upo si wangefungua kesi mahakamani badala ya kuwa na porojo kuwa tumeshinda na hakuonyeshwi kwamba wameshinda vipi? Mahakamani unaweza ukatoa vielelezo vyote na kuonyesha ukweli wako uko wapi. Hivyo kwa ujumla....watu wamekuwa wakifa wengi tu kwa kupigwa risasi na polisi pale wanapowashambulia polisi..kumbuka mauaji ya mwembachai,n.k.

Pumba tupu, Mahakama gani? za ccm?
 
Hali inaelekea pazuri mpaka sasa,muheshimiwa karibu atapanda ktk kiriri kujibu mashitaka... tuyaone,na iwe funzo kwa wengine...
 
Back
Top Bottom