Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,286
- 1,854
labda amependa anataka ampe tuzo!atakusadia nini huyo mgunduzi
Wewe ulianzaje kupiga?Morning.
Wagunduzi wa kila kitu duniani wanafahamika kwa gunduzi zao nyingi.Nani aligundua upigaji puli(masterbation) Nimemgundua jamaa yangu baada ya mke wake kumshutumu kwa tabia hiyo kwenye kikao cha kutatua mgogoro wa ndoa.
Watu wengi inasemekana enzi zao za ujana wamejaribu suala hili na wengine wanaendela mpaka leo.Lakini kwa wingi huu wa midoli halali kabisa kwanini wanafanya hivi?
Ladies pia toeni comments.
NI SABUNIMorning.

Mgunduzi Ni Abdullah Mohammed Al Salman kutokea OmanMorning.
Wagunduzi wa kila kitu duniani wanafahamika kwa gunduzi zao nyingi.Nani aligundua upigaji puli(masterbation) Nimemgundua jamaa yangu baada ya mke wake kumshutumu kwa tabia hiyo kwenye kikao cha kutatua mgogoro wa ndoa.
Watu wengi inasemekana enzi zao za ujana wamejaribu suala hili na wengine wanaendela mpaka leo.Lakini kwa wingi huu wa midoli halali kabisa kwanini wanafanya hivi?
Ladies pia toeni comments.
Hahahah aiheshimu siyo?Anza na P kubwa.