Wote hao hakuna kitu, mfalme ni Robert MArley ambaye ufalme wake ulivuka mipaka bila promo wala kushurutishwa na watawala. Muziki wake ulikuwa kweli zao la jamii yake, licha ya umaarufu wake bado akabaki kuwa mtu wa kawaida huko Trenchtown tofauti na wafalme promo ambao walikuwa maceleb.Ukizungumzia reggae kuna Bob marley, ukija miondoko ya Rock kuna Elvis presley, Pop yupo mtu mzima Michael Joseph Jackson, Hip hop wapo Tupac na Notorious....je nani ameifanyia makubwa zaidi tasnia ya muziki kwa ujumla??
Michael kupitia album ya thriller alikuwa mwanamuziki wa kwanza mweusi nyimbo yake kupigwa vituo vya tv vya weupe, Michael jackson anatjwa kuwa msanii mwenye mafanikio zaidi katika kitabu cha guiness book of records...
Bob marley aliweza kuusambaza muziki wa reggae katika kona zote za dunia, hakuna mwanamuziki aliyeimba nyimbo za kuelimisha na zikatamba kumzidi Bob marley
Tupac na Notorious wakiwa kwenye ubora wao waliufanya muziki wa Hiphop ukubalike si tu katika jamii ya watu weusi , waliupeleka muziki wa Hiphop kutoka hatua moja hadi nyingine na kuufanya uwe maarufu zaidi..
Elvis presley mfalme wa miondoko ya rock, huyu mtu alichuana na the beatles vikali katika miaka ya 60 hadi umauti ulipomkuta, ni moja ya wanamuziki waliouza sana duniani as solo artist, huwezi taja miondoko ya rock bila kumtaja elvis...
Je, yupi anastahili kuwa mfalme wa muziki?
Kwa hapa kwetu kwa sasa naona ni Wazee Wa Ngwasuma, Msondo, na Extra Bongo Next Level.
Wimbo bora uliouzwa sana Africa Mashariki na kufahamika zaidi ni Kalubandika wa Maquiz wa 1984.Hao ngwasma ni wahuni wa mjini na nyimbo zao ni za Bar
Ukizungumzia reggae kuna Bob marley, ukija miondoko ya Rock kuna Elvis presley, Pop yupo mtu mzima Michael Joseph Jackson, Hip hop wapo Tupac na Notorious....je nani ameifanyia makubwa zaidi tasnia ya muziki kwa ujumla??