Nani mbabe!

Ni shida hapo ila huyo baunsa atauliwa naniliii,na huyo dogo atakatwa kichwa.
Dogo atakufa na baunsa atashindwa kuijaza dunia.
Duuuuu.
 
Hapo maana yake ni kwamba hata huyo dibo akifanikiwa kukata kichwa ya huyo dogo nae ataachwa akiwa kapoteza sifa ya uanaume.
 
Atakayekuwa wa kwanza kuminya mkasi ndo atakuwa mbabe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…