Nani mbabe Haye Vs Harrison?? Weekend

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2010
Messages
1,960
Likes
240
Points
160

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2010
1,960 240 160
[video]ttp://www.youtube.com/watch?v=Te6-RBt3Qks[/video]Pundits' view on David Haye v Audley Harrison


_49015803_boxing_.jpg
Click to play


Click to play
Haye and Harrison trade verbal blows

By Nabil Hassan
999999.gif


If November's fight between David Haye and Audley Harrison is as entertaining as Tuesday's press conference, British boxing fans are in for real treat when the pair meet at the MEN Arena in Manchester.
Haye, the WBA heavyweight champion, and Harrison, the former Olympic gold medallist, were in fine form as they traded insults as their fight on 13 November was announced at a news conference in London.
o.gif
606: DEBATE
How has Harrison, who boasts the conflicting nicknames 'A-Force' and 'Fraudley', earned his shot and does he deserve it?


BBC Sport's Nabil Hassan

But how did Haye, one of the most valuable assets in world boxing and the so-called saviour of the heavyweight division, agree to fight a man who this time last year was fighting in the knock-out Prizefighter tournament?
BBC Sport boxing commentator Mike Costello and pundit Steve Bunce analyse how the fight came to happen and what it means for both fighters.

Haya wadau wenzangu wanaopenda ngumi kama mmesikia this weekend ni hao jamaa wanakutana lakini nimekuwa nikipata shida sana kuchagua nani mkali between them. Naona viwango vyao ni vya chini na hawavutii, sio kama enzi zile za kina Tyson, Evanda etc
 

myao wa tunduru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2010
Messages
610
Likes
43
Points
35

myao wa tunduru

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2010
610 43 35
Ningefurahi sana kama mtu mweusi akisimama na Klitschos na kuwasimamisha na Haye ndo alikuwa chaguo langu lakini baada ya kufuatilia nimegundua ni mzuri wa maongezi kuliko kwenye ring,hii ngoma akikalishwa itakuwa poa sana ingependeza kama akishinda apande na Odlanier Solis ili mshindi wa hapo ndo akutane na vyuma Klitschos...heavyweight imekosa msisimko kwasababu hamna washindani wa kutosha na dunia ilishazoea kuona hii division ikitawaliwa na wamarekani weusi......
 

myao wa tunduru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2010
Messages
610
Likes
43
Points
35

myao wa tunduru

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2010
610 43 35
Msisimko umekwisha! siku hizi huniweki macho kusubiri boxing! tofauti na enzi hizo tulivyokuwa tunakesha kusubria mpambano!:smile-big:
mkuu hii ngoma itarushwa kweli ktk hizi channel za bongo za kulipia?if yes plz nijuze nipate kushuhudia huu uhondo....pia utaniupdate kuhusu wa margarito na pacquiao kama nao utakuwa aired.....
 

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2010
Messages
1,960
Likes
240
Points
160

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2010
1,960 240 160
mkuu hii ngoma itarushwa kweli ktk hizi channel za bongo za kulipia?if yes plz nijuze nipate kushuhudia huu uhondo....pia utaniupdate kuhusu wa margarito na pacquiao kama nao utakuwa aired.....
Ntaku update muda sio mrefu! kama wataonyesha channel gani bongo, time etc!:thumb:
 

myao wa tunduru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2010
Messages
610
Likes
43
Points
35

myao wa tunduru

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2010
610 43 35
ebwana unanikumbusha mbali, enzi tunakesha mpaka alfajili tukisubiri boxing kumbe bado wanaendelea? mimi cna coment kwan nimehamia kwenye mieleka hapo tutakesha.
mkuu fuatilia hizi weight ndogo zipo interesting sana siku hizi kama wewe ni mtu wa ngumi hakika utaanza kukesha tena kuzisubiri kwani zinahitaji pumzi,speed na skills za hali ya juu kuibuka kidedea si kama zile za heavy weight ambazo siku hizi watu wanamalizia mpaka raundi zote utasema wanalipwa overtime!hakika tyson aliondoka na ladha ya ngumi za uzito wa juu....
 

Ab-Titchaz

Content Manager
Joined
Jan 30, 2008
Messages
14,702
Likes
133
Points
135

Ab-Titchaz

Content Manager
Joined Jan 30, 2008
14,702 133 135
The biggest clash in British history since the Lennox Lewis-Frank Bruno fight

_49918915_010630965-1.jpg_49920873_010631177-1.jpg
Former British Champs Frank Bruno and Lennox Lewis are cheered by the MEN Arena Sell-out crowd

_49931168_lewis766.jpg
 

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Messages
11,547
Likes
622
Points
280

Sikonge

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2008
11,547 622 280
Huyu Msenegal kweli wa ovyo.

Huu Mchezo umekwisha kwa sasa. Heri nikaangalie tu K-1.

Harrison Suck........

 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,203,539
Members 456,791
Posts 28,117,725