Nani lishawahi kuutumia huu mtandao

Nani lishawahi kuutumia huu mtandao

YOUNGMUSHI

Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
17
Reaction score
3
Wadau ni nani alishawahi kufanya biashara na hii site ya Kivuko.com
Kuna mziggo nataka kuagiza kwao ila nina wasiwasi isije ikawa ni matapeli nikalizwa kama kuna mtu humu ndani alishawahi kufanya nao biashara please niambie
 
Back
Top Bottom