aende tu, aliniboa sana huyu, hana lolote. asante CCM kwa kumtimua kabisa mnafki sana yule. kila siku anazua visa tu kwa wenzie, utadhani yeye alikuwa msafi, akiletewa ngoma bungeni anawarudia aliowajeruhi kushirikiana nao kisha inazimwa (rejea ishu ya richmond) sasa huyu spika gani? mara ajijengee ofisi ya spika jimbini kwake urambo, utadhani alijhakikishiwa kuwa uspika utatoka urambo milele, kweli ule si ubadhirifu wa mali za umma? ilikuwa akili, au matpe kichwani kwake? amevuna lichopanda, na aende zake tu, tena wamemchelewesha sana, bora angevuliwa tu uanachama kipindi kle. bora sasa wametiletea makinda. huyu atalimudu bunge hakika
Sio lazima u-post thread
The ignorant man always adores what he cannot understand.
Duru ndo hizo sasa,tusubiri tu baada ya kukosa Uspika SS ndo anaenda kwenye UPM.
Kupata UPM itakuwa ngumu, halafu isitoshe 6 kwa ujasiri wake hafai kwenye nafasi za kuteuliwa maana watamfukuza, huyu jamaa anafaa kwenye nafasi ya kuchaguliwa ili awe na nguvu.
lisemwalo lipo... anaweza akawashangaza wa TZN kwa kuweka PM wakike..
Go extra one mile in thinking!! Hawa jamaa walitaka kumnyang'anya kadi yao ya CCM majuzi, leo wamemvua uspika for just a simple reason ya kuwaweka mademu kushika hiyo nafasi, TAKAKURU were used to clip his wings kwa kumbambikia mkewe Mr.Six kukamatwa na rushwa halafu leo waje wampe au hata kumfikiria u PM? Haiwezekani!!!!! Hiyo imetoka na muda si muda watamweka kwenye a forgoten list kama walivyomfanya Mzee Malecela, Hawa Ngulume,Butiku, Kolimba, Mangula na watu wengine waliokuwa na msimamo wa kuipenda nchi yao.
Ukitaka kujua hao sisi m ni watu wa namna gani kumbuka safari ya Makamba kwenda Urambo kuzungumza na Mama yake Mhe.Sita, kumbuka alivyojikosha na kumbuka maneno ya Kikwete alipokwenda kwenye kampeni pale. Usingetegemea haya yote kutokea!! Hawa walimzunguka zunguka wakiogopa kuwa angeweza kuhama chama baada ya kuanzishwa kwa CCJ, waliogopa kuwa angekuwa a great material kama yeye na wapiganaji wengine dhidi ya ufisadi wangehamia upinzani.
Sasa ili mradi wameisha rudi madarakani hawamhitaji tena na wako tayari kwa lolote hata akihama chama chao!!! lakini kwa kuwa watz wengi si jasiri, hawezi thubutu kuhamia CHADEMA! Kwa watu kukosa ujasili na kuendekeza njaa zao, ccm inakuwa inajidanganya kuwa chama kina nguvu kubwa.
aende tu, aliniboa sana huyu, hana lolote. asante CCM kwa kumtimua kabisa mnafki sana yule. kila siku anazua visa tu kwa wenzie, utadhani yeye alikuwa msafi, akiletewa ngoma bungeni anawarudia aliowajeruhi kushirikiana nao kisha inazimwa (rejea ishu ya richmond) sasa huyu spika gani? mara ajijengee ofisi ya spika jimbini kwake urambo, utadhani alijhakikishiwa kuwa uspika utatoka urambo milele, kweli ule si ubadhirifu wa mali za umma? ilikuwa akili, au matpe kichwani kwake? amevuna lichopanda, na aende zake tu, tena wamemchelewesha sana, bora angevuliwa tu uanachama kipindi kle. bora sasa wametiletea makinda. huyu atalimudu bunge hakika
ANA MAKINDA NDIYE SPIKA KWA VIGEZO HIVI:-
1. WANA CCM WOTE WATAMCHAGUA YEYE
2. KUMBUKA CCM NA CUF WAMEUNGANA HIVYO HATA MREMA ANAONEKANA KUJUINGA NA CCM HIVYO WABUNGE WOTE WATAMCHAGUA ANA NA KUWA NA KURA NYINGI.
3. CHADEMA "NGUVU YA UMMA" INAWABUNGE WACHACHE HATA KAMA ITAUNGANA NA NCCR MAGEUZI HAWATA WEZA KITU.
NCHI IMEKWISHA.
SITTA ANASTAHILI ALICHOFANYIWA KWANI:-
i. ALIKUWA NA NAFASI YA KUPIGA KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NA RAIS WAKATI WA TUKIO LA LOWASSA ILIAIOKOE NCHI AKAONA CHAMA NI BORA HIVYO BAADAYE AKATAKA KUJIUNGA NA CCJ AKASHINDWA WAJOMBA JAMAA HAFAI. WAMEONA WAKIMPA TU ANAWEZA AKAJIJENGEA UMAARUFU ILI 15 AGOMBEE URAIS KAISHA HUYO.
aende tu, aliniboa sana huyu, hana lolote. asante CCM kwa kumtimua kabisa mnafki sana yule. kila siku anazua visa tu kwa wenzie, utadhani yeye alikuwa msafi, akiletewa ngoma bungeni anawarudia aliowajeruhi kushirikiana nao kisha inazimwa (rejea ishu ya richmond) sasa huyu spika gani? mara ajijengee ofisi ya spika jimbini kwake urambo, utadhani alijhakikishiwa kuwa uspika utatoka urambo milele, kweli ule si ubadhirifu wa mali za umma? ilikuwa akili, au matpe kichwani kwake? amevuna lichopanda, na aende zake tu, tena wamemchelewesha sana, bora angevuliwa tu uanachama kipindi kle. bora sasa wametiletea makinda. huyu atalimudu bunge hakika
acha fiksi zako wewe!makinda haliwezi bunge hili.ataweza kuamulia ngumi?hakuna ubishi bunge lilichangamka chini ya 6.Marando anahusika kwa sasa.