Nani kmwaga pombe yangu- Ijumaa

Nani kmwaga pombe yangu- Ijumaa

Mbona sikuelewi.... !!? furaha gani unataka nikupe...!?? funguka tu...

Taratiiiiiiiiiiiiiiibu utaelewa ....... jana si umeanza kuandika chini kwa vidole, next week utaanza kutumia penseli!
 
^^
Teh teh Kumbe unamtolea macho,,
Mtu akiwa kwake ni mfalme.
We ruhusu file langu tu..
Kipenda roho...
^^

Hv kumbe amekataa kuruhusu file? ngoja nimlaghai subiri, najua weakness yake! we endelea kula jeramba la asali mwezi!
 
Back
Top Bottom