Julius Kaisari
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,176
- 675
Nadhani kwa hali hii kikwete atakua ni moja ya marais walikutana na wakati mgumu madarakani kuliko hata nyerere aliyepigana vita ya uganda na tz.
Katika hizo tafiti za gas na visima vya mafuta tz imetumia bilions of money sasa kama data hua wanaweka kwenye saver moja without back up...itakua ni nchi ya ajabu sana hii.
Itakua tumeuzwa siku nyingi....Mi waziri ngeleja sina iman naye kabisa ...yupo yupo tu kama mama wa nyumbani vile!!

@bluetooth, ingekuwa that simple isingewa-shake wakubwa pale..believe i tel u, hali si salama as u guec..hawajabeba pc as pc, wamechagua ile hasa yenye mambo.. Hivi unafanya mchezo na taasisi za serikali? Uzembe kibao..and afterall wale watu wameachwa muda mrefu bila kuthaminiwa,hata jengo lile kwa juu juu utaona nikama hisani, but ukweli ni kwamba Ni mali yao, na wanalaani iweje Nsssf kuwa wakusanyaji kodi ya pango ya paradise hotel plus many more renting ofcs over there, its mult-billions..so they dont bother at large..
@MsandoAlbert, mkuu hii habari ni kweli kweli tupu.kusema mi mfanyakazi,au nimeiba news hii haina mashiko. Muhimu validity yake. Ni kuwa jamaa walikuwa hawajaihamishia hii database system yao pale ofc zao mpya. Nami nilihoji kuwa iweje mambo hayo muhimu wayaache kule,kama unapafaham zilipokuwa ofc zao utaona kuna ufisadi upo hapa.B'se wamehamia mafuta house karibu mwaka na zaidi. Then tayari kuna watu walishaanza kufatilia bahari. Pia inasemekana walinzi walikula cha Juu.