Nani kawaleta hawa?

wamekonda... hawa hata panya hawakamati. lol!
 
Hawa wamepigika na njaa hivyo wanatafuta kila njia ikiwemu ya kujilengesha na magari ili wafe.
 
Walivyo na njaa watakamata hako kamkono kahuyo anaye waphoto,oooh...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…