Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,277
- 61,235
dah! hiyo ya pili na ya tatu nimezikamata
dah! hiyo ya pili na ya tatu nimezikamata
Duh...long time...
Ya kwanza tu ndio sijaishika...
ya 2,3 na 4, nimezitumia mwaka 1983 nilipoteza kisu cha babu nilichapwa sana. baadae kisu kikaonekana babu akanipa senti kumi nikaenda kununua ndizi mbili kupoza viboko
kumbe wewe KATOTO tuSijawah ata kuziona
kumbe wewe KATOTO tu
Eeeeh bado nakula serelaki lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums