Nani katumia hizi sarafu I remember when I was in primary school

Sent 50 nimeikamata kipindi hichoo navaa tshirt bila pensi

Sent from Nokla using Jf app

Hahahahaaaa... umenifurahisha, na tishet ndo ilikuwa handkerchief kamasi zikizingua au ukiwa na haraka kama vipi nyuma ya kiganja panahusika.
 
duu mimo nlizikamata tu..hiyo ya kwanza babu alikua nazo kwenye kamba kama mkufu vile.mpaka sasa zipo..hivi hazina dili kabisa jamano hata tupige.hela? maana nlizihesabu mwaka jana zipo kama 46 hivi na bado anazo.
 
Zingekuwa rupia labda lakini hizi hazina dili kabisa, ziweke kama souvenir tu
 
duu basi tena..huwa naonaga kina baba wanamkejeli wanamwambia ubahili wake wa kuficha hela uliwapa umasikini maana hizo 46 zingempa maendeleo balaa kipindi hicho..akasema aliziiba kwa mkoloni old moshi alipokua karani wa kusimamia mashamba ya.kahawa huko sasa akatulia kwanza kama zitauliziwa azirudishe matokeo yake ndo.akazisahau mpaka leo..duu inauma sana kama hazina thamani
 
Loo pole sana jaribu kuangalia bei zake kwenye eBay kwa mfano shilingi 50 ya silver ni £45 kama laki moja ya hapa I hope siku moja utapata mnunuzi.
 
thumni au sumni nani anajua kwa ufasaha?? Nimeitumia sana hiyo kupanda daladala kwenda shule na kununua vitu vitu kama bagia, barafu, kaukau, viazi, ndizi, etc. Enzi hizo hakuna cha academy st. Nini sijui!!

thumni
 
Tuendako hata sarafu ya shilingi mia watu wataishangaa.
 
Back
Top Bottom