[emoji23][emoji23][emoji23] sawa boss Ila inasemekana akina mama yale maumivu ya uchungu wakati wa kuzaa huwa wana exaggerate sana inawezekana kabisa maumivu ya kugongwa kwenye mbupu ni makali zaidi aisee maana mtu unaweza kuzimia kabisa
Siku wanaume tutapewa tumbo la kubeba mtoto ndio tutajua uchungu wa kuzaa
Unaona mwenye korodani mwenzio akishangaa mwanamke anayepata maumivu Kama ya kupigwa teke kwenye korodani 😕😕😕😕😕
View attachment 943149