unaweza sema umentukana wallahMadame S naomba kimbakaa..,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kweli halaf kipindi niko mdogo nakumbuka baba alinifundisha kutengeneza milkshake sasa skua najua inaitwa milkshake nikawa naita sharubati loh kumbe sharubati juice hahahhaHahahaaa..., wacha kikristo kitambe duniani
Inafanana na MKAZA MJOMBA!Toothpick nimecheka sana kiswahili chake dah
hahahaha et mkaza mjombaInafanana na MKAZA MJOMBA!
hahaha kiswahili kigumu hasaHahahahaaaaaaaa...., hiyo itakuwaa ni maziwa mtikiso
Ni kibanka, sio kimbaka....na greenhouse ni kitalu nyumba..mleta Uzi somehow amepotoshaToothpick nimecheka sana kiswahili chake dah
Ni kibanka, sio kimbaka....na greenhouse ni kitalu nyumba..mleta Uzi somehow amepotosha