Nani kanionea...

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,356
My chokleti wangu Rich woman.

Tangu uniahidi tukutane pale (tulipokubaliana sisi) ndo sijakutia tena machoni, loh. Utaniua kwa presha kichuna wewe...

Hembu songi hili likufikie popote ulipo!

​

Nakala: Baba V
 
Last edited by a moderator:
labda uimbe wimbo
wako binafsi
ndio atakuja!
mi nitakusaidia chorus!
 
Kwani kuna shida braza, huonekani jukwaani kwetu kule...

Hahaha hakuna shida mkuu nilikua nauliza ili kama kajificha nikusaidie kumsaka...
Dah na kweli nimepotea sana kule, mkoloni kakaba sana hata time ya kwenda Taifa nakosa...
 
Rich woman sogea pande hii,umewekewa hadi dedikesheni....
 
Last edited by a moderator:
Mi nilikuwa mwanakwaya kanisani, sauti ya pili pale kati paaap... Umri ungeruhusu wallahi THT wangeloga kupata saini yangu.

wacha weee
hata mimi naimba
kwaya mpaka leo!
tutoe single iwe dedication
kwa Rich woman uone kama
hatojileta mwenyeweee!
 
Last edited by a moderator:
My chokleti wangu Rich woman.Tangu uniahidi tukutane pale (tulipokubaliana sisi) ndo sijakutia tena machoni, loh. Utaniua kwa presha kichuna wewe...
Usife maana nipo kwaajili yako tu na hilo unalitambua....Ila ile ratiba nilokwambia juzi ndo ilituharibia mambo yote...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…