mastersajenti
Senior Member
- Dec 4, 2015
- 165
- 24
Watanzania wenzangu wakati umefika sasa wakusema basi kwa baadhi ya viongozi wetu wanaojifanya wanatoa maamuzi kwa niaba ya serikali kumbe in kwa faida yao binafsi.Inashangaza Leo Mkuu wa Mkoa eti anamsihi Manji aachie eneo la Coco Beach Kwa ajili ya wananchi.
Kwani ni nani aliyemwuzia Manji? Je huyo aliyeuza hakujua kuwa kuna wananchi? Ni dhahiri uongozi wa mkoa haukuhusishwa.Kuna wakati watendaji wa Wizara ya Ardhi waliuza eneo la Mnazi Mmoja kwa mfanya biashara aitwae Bagdadi lakini aliyekuwa Waziri wa Ardhi Mh.Lowassa alizuia biashara hiyo na wahusika wote akiwemo na Bagdadi mwenyewe walifikishwa mahakamani na kuhukumiwa vifungo.
Wakati umefika wa Mkuu wa Mkoa sio kumwomba Manji ila kutengua mikataba yote na wahusika wote wafikishwe mahakamani.Wahusika wamefanya biashara na Manji.
Kauli mbiu yetu ni HAPA KAZI TUU