Nani kamtuma neville meena kudanganya umma wa watanzania?

A-town

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
494
169
JAPO MIMI SIO GWIJI LA HABARI KAMA YEYE,LAKINI HAPA HAIHITAJI TOCHI KUGUNDUA MAKOSA KATIKA HABARI HII,HAPA KUNA MOVIE INATENGENEZWA KAMA KAWAIDA YA TZ KUWA NCHI YA MATUKIO.
Nimejaribu kuisoma kwa kina habari ya kiuchunguzi juu a kifo na mahali alipozikwa aliyekuwa gavana wa bank kuu ya Tz Daudi Ballali,habari iliyoandikwa na mwanahabari nguli na wa sikunyingi Neville Meena,kwa kweli habari hii imeniacha na maswali mengi kuliko majibu,kuhusiana na ukweli wa habari yenyewe na lengo la habari yenyewe,ili uweze kuelewa ninachokusudia kuandika hapa inapaswa uwe huru(free mind)usiusome uchambuzi huu ukiwa na mgandamizo wa hisia yoyote ya itikadi za kisiasa wala kitu chochote,na huu ni uchambuzi wangu wa kidadisi tu,na wala sikulazimishi ukubaliane na mimi, na nitaanza kuweka hapa vipengele vinavyoacha mashaka kwenye habari hiyo ya gazeti la mwananchi.
TUANZE NA KIPANDE HIKI CHA MWANDISHI MEENA.
" lakini kaburi la Ballali halikuonekana na hata mwandishi alipokwenda siku ya pili peke yake, kaburi hilo pia halikuonekana kwa kutokana na ukubwa wa eneo hilo.
Siku ya tatu, Mwandishi wa Mwananchi alilazimika kuomba msaada wa Ofisi ya Makaburi ya Gate of Heaven, ambayo ilimsadia kuonyesha eneo lilipo kaburi hilo, hivyo kuwezesha kupata picha zake.
Kaburi lake liko katika msitari wa mwisho kabisa na Ukanda wa Kijani wa miti iliyozunguka makaburi ya Gate of Heaven, Kaburi hili limezungukwa na makaburi mengine kadhaa ambayo si ya Watanzania, "
MAKOSA YA MWANDISHI YAPO HAPA,
ANASEMA,HAKUWEZA KULIONA KABURI LA BALLALI KWA SIKU 2 MPAKA PALE ALIPOPEWA MSAADA NA UONGOZI WA ENEO HILO,LAKINI UKITAZAMA PICHA YA KABURI HILO LINAONEKANA LIPO PEKE YAKE NA LIMEJITENGA,HATUONI HUO WINGI WA MAKABURI MENGINE ULIOKUWA UNAONGELEWA NA MWANDISHI KWAMBA ULISABABISHA ASILIONE KABURI LA BALALI HARAKA,TAZAMA PICHA,HAPA NILITARAJIA KUONA HUO WINGI WA MAKABURI ULIOMFANYA ASILITAMBUE KABURI LA BALALI KWA SIKU 2 ZA NYUMA,TOFAUTI KABURI LA BALALI LINAONEKANA LIPO ENEO LA PEKE YAKE BILA KUKABILIBIANA NA MAKABURI MENGINE.

KOSA LA PILI LA HABARI HII LIKO HAPA
"Safari hiyo ya siku kumi, ilianza Alhamisi Juni 26, 2014 hadi Jumapili, Julai 6. Mwandishi wa habari hizi aliligundua kaburi hilo baada ya kwenda makaburi ya Gate of Heaven kwa siku tatu mfululizo."
KWAMBA ALILIGUNDUA.WHICH MEANS LILIKUWA LIMEFICHWA AMA VIPI,KWA TAFSIRI YA HARAKA HARAKA YA NENO HILO KUGUNDUA,JE MWANDISHI ALIKUSUDIA NINI?

KOSA LA 3 HILI HAPA TENA
"Mkazi wa Kijiji cha Luganga, Wilaya ya Mufindi, Iringa, alikozaliwa Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Daudi Ballali analazimika kutumia saa 32 kufika katika kaburi la kiongozi huyo lililopo eneo la Silver Spring, Maryland nchini Marekani."
KUMBE HUYO NDUGU ALIETAJWA KWENYE HABARI HII ANAFAHAMU ENEO KABURI LILIPO,SASA KWANINI MWANDISHI ALIPATA TABU KULIONA KABURI LA BALALI WAKATI NDUGU YAKE HUYO YUPO NA ANGEMWONESHA?

USHAHIDI MWINGINE WA KOSA LA 4 LA HABARI HII YA MEENA HUU HAPA
"Ndugu wa Ballali (pichani) wanaweza kutaka kwenda kuona kaburi la ndugu yao, kutokana na ukweli kwamba wengi wao hawakuwahi kupata fursa ya kumzika Gavana huyo ambaye alikuwa kiongozi wa juu kabisa wa taasisi kubwa inayosimamia masuala ya fedha na uchumi wa nchi."
ANAPOSEMA NDUGU WA BALALLI WANAWEZA KWENDA KUONA KABURI ANAAMANISHA NI BAADA YA YEYE KULIGUNDUA,KWAMBA NDUGU HAO WALIKUWA HAWAJUI LILIPO AMA MWANDISHI AMEKUSUDIA KUMAANISHA NI NI KATIKA WITO WAKE HUO WA KWENDA KULIONA KABURI LA BALALLI?NA NI NDUGU WAPI ANAPOSEMA"Ndugu wa Balalli pichani"wakati sisi hao ndugu zake Balalli hatuwaoni katika picha hiyo.
SEHEMU YA MAKALA HAPA CHINI INAACHA MASHAKA MENGI KULIKO UKWELI
"Uthibitisho huu ni tofauti na hekaya za miaka nenda rudi zilizogubika kifo cha kiongozi huyo, ambaye tangu alipoondoka nchini kwenda Marekani Agosti 2007, hakuwahi kurejea na badala yake zilisikika taarifa za kuugua kwake, kifo chake na baadaye mazishi yake yaliyokuwa ya siri kubwa yakiwahusisha ndugu wa karibu pekee."
HAPA SASA NAIONA KWA MBALI DHAMIRA NA NIA YA HABARI HII,LAKINI NASTUKA ANAPOTAKA KUTUAMINISHA KWAMBA NI KWELI BALALLI ALIKUFA NA KUZIKWA KWA USHAHIDI WA KABURI TU NA MAADISHI JUU YA KABURI LAKE,ANATAKA KUTUAMBIA KWAMBA HAIWEZEKANI AWE AMEZIKWA MWINGINE THEN LIKAANDIKWA JINA LA BALALLI? KWANI NINI KINASHINDIKANA HAPA TZ?NARUDIA KUSEMA HABARI HII INAACHA MASWALI MENGI KULIKO MAJIBU HASA KWA KUISOMA HABARI YENYEWE KWA KINA.NAKARIBISHA MAONI YENU NA NYIE.

KWA HABARI ZAIDI
NANI KAMTUMA NEVILLE MEENA KUDANGANYA UMMA WA WATANZANIA? - TANZANIA NCHI YETU SOTE
 
Tanzania nchi ya matukio, hizi habari ni kutaka kuwaamisha watu wasiendelee kujadili mambo ya IPTL
, katiba mpya, mswada wa gesi nk.
 
Ni uchambuzi mzuri... Hiyo picha ya kaburi inatia mashaka kiukweli picha na alichokiandika haviendani kabisa.
 
Mkuu toleo la leo ametoa mwendelezo wa stori yake ya kusadikika anasema huyo mtu anayemwita Balali kabla yajafa alikataa kupigwa picha wakati akiwa hospitali, akiwa amekufa na wakati wa kuzikwa. Huo ndio wosia wa "marehemu" Balalzi wa kweli afe halafu JK anazunguka kila siku USA ashindwe kuhudhuria mazishi yake au hata kufika kaburini kwake kutoa heshima za EPA?
 
Hata mimi nilipoiona tu picha. Nilikuwa na wasiwasi. Ilipigwa kwa mbele au nyuma. Hata kama ali zoom. Hata kakipande ka kaburi jirani tungeona. Ukizingatia amesema ni eneo lenye makaburi mengi. Hii kitu bongo au photoshop. Alafu wanakuja kuuza gazeti
 
Hata mimi ninamuona meena jinsi anavotumika.

Nini hasa sababu ya yeye kwenda marekani? Ili iweje?

Na kuna gazeti lingine pia lilikuwa na habari hii, sikulisoma sijui maudhui iliokuwa nayo ila kwa hili

Neville meena umechemka
 
A-town Nevilli Meena ni TISS officer anafanya kazi yake..angali sahara comm aliwavuruga wakamshitukia, TFE napo ni mzigo kama katibu na mwananchi soon watamjua tuuu.

Angalia anasafiri sana nje na ulipiwa na DFP.

Na kazi hii anaifanya kwa maelekezo ya DSI
 
Last edited by a moderator:
Nani kamtuma na nini malengo yake hasa tunapokaribia uchaguzi? Au kuna picha mbele itatokea anajaribu kuweka mazingira jengwa nini?
 
Utomaso umekujaa,ulitaka apige picha makaburi yote kwani ni ya BALALLI?alafu huko Marekani sio mbinguni unaweza kwenda~Hivi BALALLI ALIKUWA ANATAFUTWA NA SERIKALI YA TANZANIA?
 
Huu mchezo tutajua nani kaupika.....vitu tata juu ya kifo cha Balali vimejadiliwa sana humu.....kama Meena hajatumwa afukue nyuzi za Balali humu alafu ajibu maswali ya wadau kwenye hizi makala zake badala ya kutengeneza sinema ambayo tumeshaanza kuishtukia.....
 
Bahati nzuri/mbaya ukweli huchelewa kufika lakini lazima ufike, polepole siku itafika kila kitu kitaeleweka.
 
Back
Top Bottom