mimi siamini kushindwa kwa ccm ilikuwa bahati mbaya., bali kuna maswali mengi sana ya kujiuliza kwanini hakuweza kufurukuta ikizingatiwa kwenye uchaguzi mwaka 2010.,baba ake alipita hata bila ya kupanda jukwaani na kuibuka na ushindi mzito dhidi ya nassari..!
Je ni yeye mwenyewe sioi sumari, ajilaumu kwa kutonadi sera vizuri,au kutokuwa competant au kutojiamini anapokuwa jukwaani
je amlaumu livingstone lusinde kwa kufukuza wapiga kura kwenye kampeni kwa matutsi mazito,
je amlaumu wanamtandao ndani ya ccm waliompiga vita kwenye kura za maoni ccm,
je amlaumu prof.maji marefu., kwa kufanya ushirikina ambao ulizidiwa na nguvu za mungu
au amlaumu mwigulu nchemba kwa kuwa poor campaign manager kwa kuegemea zaidi upande wa majungu kuliko kunadi sera
amlaumu nani maskini sioi, kwasababu uwezo alikuwa nao, kuanzia mtaji wa kura,fedha za kampeni na support kubwa ya washili..!
Sio amlaumu nani.,amwamini nani? Kigeu geu kigeu geu