Nani kamponza sioi sumari...!

Nani kamponza sioi sumari...!

Tanzaniaist

Senior Member
Joined
Nov 29, 2011
Posts
161
Reaction score
158
Mimi siamini Kushindwa kwa CCM ilikuwa bahati mbaya., bali kuna Maswali mengi sana ya kujiuliza kwanini hakuweza kufurukuta ikizingatiwa kwenye uchaguzi mwaka 2010.,Baba ake alipita hata bila ya kupanda Jukwaani na kuibuka na ushindi mzito dhidi ya Nassari..!

Je ni yeye mwenyewe Sioi Sumari, ajilaumu kwa kutonadi sera vizuri,Au kutokuwa competant au kutojiamini anapokuwa jukwaani

Je amlaumu Livingstone Lusinde kwa kufukuza wapiga Kura kwenye kampeni kwa Matutsi mazito,

Je amlaumu wanamtandao ndani ya CCM waliompiga vita kwenye kura za Maoni CCM,

Je amlaumu Prof.Maji marefu., kwa kufanya ushirikina ambao ulizidiwa na Nguvu za mungu

Au amlaumu Mwigulu Nchemba kwa kuwa poor campaign Manager kwa kuegemea zaidi upande wa majungu kuliko kunadi sera

Amlaumu nani Maskini Sioi, kwasababu uwezo alikuwa nao, kuanzia mtaji wa kura,fedha za kampeni na support kubwa ya Washili..!

Sio amlaumu nani.,amwamini nani? kigeu geu kigeu geu
 
Hata angesimama Kikwete kugombea Arumeru bado CHADEMA wangeshinda tu, acha kumtafuta mchawi.
Najua unataka kusema Siyoi kaponzwa na Pamela
 
...exactly ni CCM imemponza, na makampeina wake wanaonuka maovu...laiti angejua angesimama tu pekee...maana kawadhalilisha wengi, mkapa, ngeleja, mwigulu, wassira, lusinde...etc
 
Mimi siamini Kushindwa kwa CCM ilikuwa bahati mbaya., bali kuna Maswali mengi sana ya kujiuliza kwanini hakuweza kufurukuta ikizingatiwa kwenye uchaguzi mwaka 2010.,Baba ake alipita hata bila ya kupanda Jukwaani na kuibuka na ushindi mzito dhidi ya Nassari..!

Je ni yeye mwenyewe Sioi Sumari, ajilaumu kwa kutonadi sera vizuri,Au kutokuwa competant au kutojiamini anapokuwa jukwaani

Je amlaumu Livingstone Lusinde kwa kufukuza wapiga Kura kwenye kampeni kwa Matutsi mazito,

Je amlaumu wanamtandao ndani ya CCM waliompiga vita kwenye kura za Maoni CCM,

Je amlaumu Prof.Maji marefu., kwa kufanya ushirikina ambao ulizidiwa na Nguvu za mungu

Au amlaumu Mwigulu Nchemba kwa kuwa poor campaign Manager kwa kuegemea zaidi upande wa majungu kuliko kunadi sera

Amlaumu nani Maskini Sioi, kwasababu uwezo alikuwa nao, kuanzia mtaji wa kura,fedha za kampeni na support kubwa ya Washili..!

Sio amlaumu nani.,amwamini nani? kigeu geu kigeu geu

Tizama hapo kwenye highlighter mkuu. Lowasa alisimama kidete wakati wa kampeni za marehemu baba Sioi na kuhakikisha amemwaga mihela kuhakikisha mkwe wa mwanaye pamela anashinda. Cha msingi ni kuwa watanzania kwa ujumla wameamka kisiasa, hata vijijini. Angalia hata uchanguzi wa jana Arumeru Mashariki, walioenda kupiga kura wengi ni watu wazima na bado wamechagua badiliko. Hii hali si ya mchezo, ni ishara kwa CCM kuwa 2015 hali itakuwa mbaya zaidi kwao. Kwanza hawatakuwa na hela za kugawa na kununua shahada kama walivyofanya Arumeru maana awali walianza kununu shahada moja kwa sh. 10,000 baadaye wakapandisha dau hadi 20,000 kwa shahada moja na wale wagumu waliokubali kuuza mwishoni walipewa 50,000 kwa shahada moja. Hivi hizi hela kama wanazo kwa nini huyo marehemu Jeremiah Sumari hakuweza hata kupeleka umeme maeneo mengi wakati wilaya yake ipo tu jirani na mji? Hata kama kata ziko mbali but si kama kule kijijini kwangu ambako ni mbali na mji kabisa but nina umeme na maji? Arumeru kuna vyanzo vya maji vizuri tu but watu hadi leo wanakunywa maji ya mfereji yasiyo salama kabisa na ukame umekausha hata mifereji mingine!!!! Eti leo hii Sioi mtoga masikio anaweza kuleta maendeleo Arumeru ambayo baba yake alishindwa kuyaleta muda mrefu. Cha kushangaza pia hata kitambulisho chake cha mpiga kura ni cha Arusha mjini hii ina maana kuwa hata hakuwa anampigia baba yake kura!!!!!!! Kwa hiyo ni dhahiri kuwa baba mkwe wake alimsukuma agombee ili aweze kuandaa watetezi wake wa 2015. Cha msingi hapa baba mkwe ameshindwa na kambi yake yote na ile kambi ya Nape akiwemo JK imeshinda!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hakuna haja ya kutafuta mchawi. Zama za CCM zimekwisha tayari, labda ikae pembeni ijipange upya kwa kuacha kukumbatia MAFISADI na kutetea wanyonge kwa vitendo.
 
Kwa hali ya nchi hii ilipofikishwa na CCM, kushinda uchaguzi kwa kupitia CCM inategemea nguvu ya kuchakachua kura, vinginevyo CCM haipendwi pasipo kujali wamemsimamisha nani!
 
Mimi siamini Kushindwa kwa CCM ilikuwa bahati mbaya., bali kuna Maswali mengi sana ya kujiuliza kwanini hakuweza kufurukuta ikizingatiwa kwenye uchaguzi mwaka 2010.,Baba ake alipita hata bila ya kupanda Jukwaani na kuibuka na ushindi mzito dhidi ya Nassari..!

Je ni yeye mwenyewe Sioi Sumari, ajilaumu kwa kutonadi sera vizuri,Au kutokuwa competant au kutojiamini anapokuwa jukwaani

Je amlaumu Livingstone Lusinde kwa kufukuza wapiga Kura kwenye kampeni kwa Matutsi mazito,

Je amlaumu wanamtandao ndani ya CCM waliompiga vita kwenye kura za Maoni CCM,

Je amlaumu Prof.Maji marefu., kwa kufanya ushirikina ambao ulizidiwa na Nguvu za mungu

Au amlaumu Mwigulu Nchemba kwa kuwa poor campaign Manager kwa kuegemea zaidi upande wa majungu kuliko kunadi sera

Amlaumu nani Maskini Sioi, kwasababu uwezo alikuwa nao, kuanzia mtaji wa kura,fedha za kampeni na support kubwa ya Washili..!

Sio amlaumu nani.,amwamini nani? kigeu geu kigeu geu

Kuwa CCM ni kosa kubwa alilofanya.
 
Hamna wakumlaumu bali CCM ni bamia iliyokomaa haiuziki!!!
 
Wakome kuleta wapiga debe toka Hifadhi ya Gombe, huyo kiumbe aliwatisha sana wapiaga kura
 
Back
Top Bottom