Nani kampiga misumari Kichuya?

Shida ya Mikia FC mpk kama mademu wa Facebook, maji mara moja mshakolea swaga...huyu Kichuya anampira gani wa kutisha km sio wazimu wenu?

Kile kigoli cha mdondo alichombahatisha Bartez? Walllah angekaa Dida golini usingesikia chuya wala mchele kitambo. Hamna mtu mule, hajapigwa misumari wala nini
Duh! Nimechoka .
 
Hakuna aliyemroga, yule ni mchezaji wa kawaida tu kama ilivyo kwa Juma Mahadhi, Kaseke, Mwashiuya na Webgine. Bahati pekee aliyonayo ni kupewa nafasi ya kucheza mechi nyingi zaidi kwa sababu nafasi anayocheza haina ushindani mkubwa wa namba. Kwa sasa amekuwa na magoli mengi kutokana ma kupewa majukumu ya upigaji penalt, kama sikusei amefunga magoli matatu kwa njiaa hiyo. Ukiongeza na goli la kona iliyopeperushwa na upepo anakuwa juu. Washabiki wa Simba tambuweni kuwa kichuya hana sifa na uwezo mliompa. Na si yeye peke yake, hivi ipo wapi ile combination hatari ya Kichuya, Mavugo na Ajibu? Wenyewe mliipa jina combination hiyo hatari "KIAMA" ni sawa?
 
Yanga acheni kubana .
 
Wakuu inasemekana kwenye haya mambo ya simba na yanga kuna kupigana misumari.

Sasa nimeangalia kiwango cha hivi karibuni cha huyu mchezaji wetu kiukweli nimestaajabu ! Si yule Kichuya wa kona - goli, kuna nini kimemtokea?
mademu bana, unauliza ndevu kwa osama bana we veeepeee!!!
 
Kichuya ni winga,kufunga siyo jukumu lake namba moja BALI kutengeneza mashambulizi au nafasi kwa strikers kufungua.Kufunga ni jukumu la pili kwake.
Aidha, mpira wetu ni mgumu kwa kuwa kukamiana ndiyo habari ya soka la. Bongo,mabeki wako tayari wafungwe na Pastory lakini eiyo Kichuya wala Mavugo.
Wakikukamia na wewe wakamiw
 
Mkuu! hawa wachezaji wao huwa na perfomance ya muda mfupi tu. we angalia kama MSuva...yaani haonekani kama ukomo wake ni kesho.
sijui ni nini aisee!
Habari ya Mujini hivi sasa ni Simon Msuvaaaaa,huyo Kichuya ameshakuwa Chujio la Tui la Nazi.
Cc:Sembo.
 
Msuva?
Wanabodi kuna kitu mnasahau, viwango vya soka vya wachezaji 99% ya Tanzania, ni vya kawaida mno, huwa inatokea ndani ya muda mfupi tu kushine, muda uliobaki wanacheza katika uhalisia wao wa asili, Singano, Kichuya, Ame Ally, Manyika Jr, hakuna miiba wala cha kushangaa hapo!
 
Ameshatoa assist ngapi mpaka sasa hivi??kichuya ni kiungo mshambuliaji then unasema sio jukumu lake kufunga mwee...haya tuambie katoa assist ngapi toka aache kutotimiza jukumu ambalo sio lake yaani kufunga?
pepo la mavugo limehamia kwa kichuya.
 
Baada ya kupewa gari lenye mapepo kwisha habari yake.

Vitu vimeanza kukaa kwenye mstari wake taratibu. Sasa benchi linamnukia.

Mavugo bado yupo?

Mwisho wa msimu tutaelewana tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom