Mtazamo hafifu na finyu sana.mode usiunganishe huu uzi popote
Mh Rais na Serikali yake hawakuwa na mpango wa kuhamia Dodoma at least mpaka may mwaka huu na sijui hii ghafla kashauliwa na nani. Hebu angalia yafuatayo
kwa sababu hizi na nyingine lukuki, napatwa na wasiwasi, nani kamfukuza Mh Rais Dar?? magogoni kuna nini??
- kama angekuwa na huu mpango katika bujeti ya 2016/2017 wangeweka fungu la kuhama, lakini hakuna fungu la serikali kuhama katika bajeti hii
- kama angepanga kuhama mapema kiasi hiki waziri mkuu katika majumuisho yake katika bunge la bajeti angetoa taarifa hii ili kuwapa mawaziri taarifa rasmi na muda wa kuhama. lakini hili halikufanyika
- Kama angekuwa na mpango wa kuhama mapema kiasi hiki CCM wasingehangaika kulazimisha kuchakachua matokeo ya umeya wa jiji (wote mnakumbuka zile sarakasi). Hii ni kwasababu wangujua kuwa wanahama na DODOMA ni ngome yao hivyo wasingepata wasiwasi wa eti rais hawezi kuwa katika jiji linaloongozwa na UKAWA.
- kama angekuwa na mpango wa kuhama, nna uhakika asingepeleka bil 12 mahakamani kwa mkupuo wakati wizara zake zote hazina bujeti ya kuhamia Dodoma katika fedha walizotenga.
- kama angekuwa na mpango wa kuhama mapema kiasi hiki asingejikita katika ujenzi wa flyover Dar eti ili kupunguza foleni wakati barabara za Dodoma ni nyembamba ka mti, angesubili serikali ihamie Dodoma ili wafanye assessment kama bado kuna ulazima wa hizo flyover Dar hasa baada ya wafanyakazi wa serikali kuhamia Dodoma
- kama angekuwa anampango wa kuhama mapema, asingezuia miradi mipya ya NHC kuendelea hasa ile ya Dodoma, kwa kuzingatia uhitaji wa nyumba utakaoongezeka katika mji huo mkuu
Tupia wa kwako tuuone kisha tuuchambue.Mtazamo hafifu na finyu sana.
mode usiunganishe huu uzi popote
Mh Rais na Serikali yake hawakuwa na mpango wa kuhamia Dodoma at least mpaka may mwaka huu na sijui hii ghafla kashauliwa na nani. Hebu angalia yafuatayo
Kwa sababu hizi na nyingine lukuki, napatwa na wasiwasi, nani kamfukuza Mh Rais Dar? magogoni kuna nini?
UKAWA ni Kibokomode usiunganishe huu uzi popote
Mh Rais na Serikali yake hawakuwa na mpango wa kuhamia Dodoma at least mpaka may mwaka huu na sijui hii ghafla kashauliwa na nani. Hebu angalia yafuatayo
kwa sababu hizi na nyingine lukuki, napatwa na wasiwasi, nani kamfukuza Mh Rais Dar?? magogoni kuna nini??
- kama angekuwa na huu mpango katika bujeti ya 2016/2017 wangeweka fungu la kuhama, lakini hakuna fungu la serikali kuhama katika bajeti hii
- kama angepanga kuhama mapema kiasi hiki waziri mkuu katika majumuisho yake katika bunge la bajeti angetoa taarifa hii ili kuwapa mawaziri taarifa rasmi na muda wa kuhama. lakini hili halikufanyika
- Kama angekuwa na mpango wa kuhama mapema kiasi hiki CCM wasingehangaika kulazimisha kuchakachua matokeo ya umeya wa jiji (wote mnakumbuka zile sarakasi). Hii ni kwasababu wangujua kuwa wanahama na DODOMA ni ngome yao hivyo wasingepata wasiwasi wa eti rais hawezi kuwa katika jiji linaloongozwa na UKAWA.
- kama angekuwa na mpango wa kuhama, nna uhakika asingepeleka bil 12 mahakamani kwa mkupuo wakati wizara zake zote hazina bujeti ya kuhamia Dodoma katika fedha walizotenga.
- kama angekuwa na mpango wa kuhama mapema kiasi hiki asingejikita katika ujenzi wa flyover Dar eti ili kupunguza foleni wakati barabara za Dodoma ni nyembamba ka mti, angesubili serikali ihamie Dodoma ili wafanye assessment kama bado kuna ulazima wa hizo flyover Dar hasa baada ya wafanyakazi wa serikali kuhamia Dodoma
- kama angekuwa anampango wa kuhama mapema, asingezuia miradi mipya ya NHC kuendelea hasa ile ya Dodoma, kwa kuzingatia uhitaji wa nyumba utakaoongezeka katika mji huo mkuu
Hatuongelei nani kajengewa, asilimia kubwa ya wafanyakazi katikati ya jiji la dar es salaam ni wafanyakazi wa serikali, magari ya serikali jijini dar ni almost 25% ya magari yote. ...think then come againUnataka kutuambia kuwa flyover wanajengewa watumishi wa mawizara waliopo Dar? wapo wangapi kwanza?
tunahoji uharaka wa kuhamia Dodoma bila maandalizi, kumbuka mwezi wa tisa WAZIRI MKUU anahamia , that means wizara zote ziwe Dodoma before mwezi wa TISADodoma ndipo yalipo makao makuu ya nchi. Na hili si la Magufuli. Tatizo nchi hii ina vijana wengi ambao historia hawana. Zaidi ya miaka 20 tangu uamuzi wa kuhamia Dodoma, leo hii tunahoji nini?
Mkuu, ofisi za TAMISEMI hazihami ni serikali kuu tu ndio inahamisha makao makuu, hivyo STK, STL ya RC na DC, SM ya halmashauri hayatatoka Darhatuongelei nani kajengewa, asilimia kubwa ya wafanyakazi katikati ya jiji la dar es salaam ni wafanyakazi wa serikali, magari ya serikali jijini dar ni almost 25% ya magari yote. ...think then come again