B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,414
July kuna nn wakuu ..?Nilitaka niliseme hili kwa ushahidi wa ile video tena akiwa amevaa kofia Gwajima bado nawaza huu mchezo kauchezaje chezaje bado sipati jibu ila ninachoamini yale makundi Hasimu ya Samia ndiyo yapo nyuma ya huyu Mwamba July nina Imani jamaa atarudi kwa nguvu kubwa mnoo isiyozuilika jiulize waliozuia mali za Msiba kipindi kile kupigwa mnada na Membe na hawa juzi waliozuia kanisa la Gwajima kufungiwa ninachoamini kuna Watu wapo mbele ya Muda siyo KJ wala Kizi wanaoweza kuzuia kinachokuja July.