Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,546
- 109,046
Acha kumbwela basi ..hivi kwa Akili yako hiyo unayojidai ya kijanja mtoto anayenyonya au wachekechea anaelewa nini basi? ...Sitaki kubishana na wewe maana tangu muda nakujua wewe ni MTU wa kariba gani na sijakujua Leo .so tusiende mbali sana kama unadhani Mimi ni mdogo saaaana!!! Ibebe hivohivo kwenye akili yako ...maana ndivyo hapo uwezo wako wa kufikiri ulipofika kikomo.
Ova and out.
Nimesimama, akili inanituma kusema Nawe Simama, Sikiliza ninachosema..... Nimesimama
Sasa unataka kubisha kitu ulichokiandika mwenyewe?
Balozi ametoa niko kwenye chart miaka ya 2000 na kitu na wewe ulikuwa Primary sasa unataka kuleta ubishi gani? Hizi ndio dalili za utoto tulia upewe historia hapa haya mambo hata ugoogle miaka 200 huwezi kuyajuwa wala kuyapata tulia tukupe habari za muziki ulipotoka.
Unamjuwa Kim & boys na Yo rap bonanza lake? Unamjuwa Check bob maarifa? (CBM) ulikuwepo wakati seven floor kila jumapili? Unaijuwa pool side? Tulia tukuflash back dogo.
"Ni wewe tu na mama hamkuniita Mr 2 bali Joseph"
Naniiiii
Hamna tofauti ya mange na makahaba wa Ambiance
perfect definition of a hustler...hivi mtu unaruhusiwa kupiga kura tofauti na sehemu uliojiandikisha..
sred itapoteza muelekeo muda si mrefu wapenda ligi wameingia!!
Huyu chizi aliyewehushwa na life hamwezi Sugu ata kidogo, nashangaa anasema Sugu eti kaogopa maneno yake ilihali hajaangaika ata kumsoma.
Sugu aliweka record clear sababu ya binti yake Sasha, Sugu ugonjwa wake sasa hivi ni Sasha anampenda sana mtoto wake. Faiza mwenyewe anajua kilichomgandisha Sugu pale ni mtoto coz Nigger alikuwa anataka sana mtoto alafu mademu walikuwa wanamzingua Faiza kukubali kuzaa ndio maana jamaa alijiweka kivile.
Awa kina Mange sijui watasema kipi kipya kuhusu Sugu ambacho jamii haujui, mtu kashindana na tahasisi yenye nguvu mpaka ikaomba suluhu itakuwa huyo cheche.
Blogger, mange kimambi U-turn Blog | u turn blog
anamdiss sugu utadhani kamuulia shangazi ake
. Anajifanya mtu wa maana embu muulize mbona mwanae SENEVA hamtakiiiii, kamtupa mpaka leo mtoto hajuani na baba yake??? Kweli vile tuongee vitu vya akili Sugu anamuona Faiza hafai
MY TAKE si mm nimekuomba fuatilia link za Mange kuna kila kitu, sirudi tena hizi MADA zilishafungwa USIHUKUMU UPANDE MMOJAHuyu Faiza nae kuna waya imepiga shoti kichwani akawaambia kama issue ni uvaaji wangu wa nguo ntaacha kuvaa hivyo si mpe warning kuliko kumchukua mwanangu. Akasema huyo anaedai mie sifai kuwa mama yeye mwenyewe kwanza ni MFI****I , amejaribu kunifanyia hiko kitendo more than 3 times namkatalia ila ndo tabia zake je mninyanganye mie mtoto based on mavazi then mkampe mtu MFI***I mtoto wangu??? hahahhahaha, huyu dada kapinda aiseee, unajua alisema mahakamani eeh?
matumbo unajua hizi Mada za SUGU zilishafungwa hapa JF na hata huko BUNGENI na huenda kote magazetini na vyombo vya habari
sasa wewe na wenzako mnavyomsifia jamaa yenu kwa upanede mmoja MNAHARIBU kwani kwa sisi tumesha BALANCE na kuona wote wana makosa au ndio kaliba yao (Level yao kimapenzi na huenda wote ni O' level ya mulugo)kwa kuogopa kuiendeleza hii MADA na BAN umewekewa link na member ingia kwa Mange ujionee
- Jamaa yako inaonesha alikutana na mpenziwe huko JOLLY Night Club
- Jamaa yako tayari ana mtoto mwingine SEVENA ambaye amemkataa
- soma tabia zao hasa pale msichana alipodaiwa kufyatuka Mahakamani siri za ndani
MY TAKE si mm nimekuomba fuatilia link za Mange kuna kila kitu, sirudi tena hizi MADA zilishafungwa USIHUKUMU UPANDE MMOJA
POOR LOGIC na wewe....poor logic
Nimeupiga sana mwaka huu, as i was going through the same, wimbo una feeling zinazoishi.
Mwingine Ringa na Marehem Albert Mangwair, the king of Free style him self. Nao naukubali balaa
POOR LOGIC na wewe
MADA ilishafungwa
USINITAFUTIE BAN
waheed wewe
Sasa unataka kubisha kitu ulichokiandika mwenyewe?
Balozi ametoa niko kwenye chart miaka ya 2000 na kitu na wewe ulikuwa Primary sasa unataka kuleta ubishi gani? Hizi ndio dalili za utoto tulia upewe historia hapa haya mambo hata ugoogle miaka 200 huwezi kuyajuwa wala kuyapata tulia tukupe habari za muziki ulipotoka.
Unamjuwa Kim & boys na Yo rap bonanza lake? Unamjuwa Check bob maarifa? (CBM) ulikuwepo wakati seven floor kila jumapili? Unaijuwa pool side? Tulia tukuflash back dogo.