kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 6,056 Reaction score 7,518 Sep 25, 2021 #2 Hapo ni Moshi?
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Sep 26, 2021 #3 Hakuna kama Mama
M man dunga JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 3,519 Reaction score 6,065 Sep 26, 2021 #4 Baba ndie alienunua mwamvuli.
Vangigula JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 856 Reaction score 2,754 Sep 26, 2021 #5 Kwa ukubwa wa mwamvuli wangeweza kuutumia wote wawili.
Jack Daniel JF-Expert Member Joined Sep 23, 2021 Posts 4,042 Reaction score 16,872 Sep 26, 2021 #6 Huyo ni mama yake au bibi yake
Franco17 New Member Joined Sep 24, 2021 Posts 2 Reaction score 11 Sep 26, 2021 #7 simplemind said: Click to expand... Wanaume wanatafuta ili mpate nguvu ya kuhoji nani kama Mama. Pendeni wazazi wenu wote ktk hali ya usawa.
simplemind said: Click to expand... Wanaume wanatafuta ili mpate nguvu ya kuhoji nani kama Mama. Pendeni wazazi wenu wote ktk hali ya usawa.
Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 7,927 Reaction score 12,454 Sep 26, 2021 #8 Hakuna kama mama (kwa wanawake) Hakuna kama baba kwa wanaume. Baba ndiye mwanaume bora na mama ndiye mwanamke bora duniani.
Hakuna kama mama (kwa wanawake) Hakuna kama baba kwa wanaume. Baba ndiye mwanaume bora na mama ndiye mwanamke bora duniani.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,791 Reaction score 184,649 Sep 26, 2021 #9 Kawaida sana... Mtu mzima kumkinga mtoto wala haitaji umama...
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,174 Reaction score 34,405 Sep 26, 2021 #10 Jack Daniel said: Huyo ni mama yake au bibi yake Click to expand... Hata sisi hatujui Mkuu.
M man dunga JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 3,519 Reaction score 6,065 Sep 26, 2021 #11 Franco17 said: View attachment 1953322 Wanaume wanatafuta ili mpate nguvu ya kuhoji nani kama Mama. Pendeni wazazi wenu wote ktk hali ya usawa. Click to expand... Wakishiba, nani kama mama? Wakiwa na njaa, baba hajaacha hela ya mboga. Wababa tumekubali yote..
Franco17 said: View attachment 1953322 Wanaume wanatafuta ili mpate nguvu ya kuhoji nani kama Mama. Pendeni wazazi wenu wote ktk hali ya usawa. Click to expand... Wakishiba, nani kama mama? Wakiwa na njaa, baba hajaacha hela ya mboga. Wababa tumekubali yote..
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Sep 29, 2021 #12 Vangigula said: Kwa ukubwa wa mwamvuli wangeweza kuutumia wote wawili. Click to expand... Dogo angeloa kwasababu ya kimo chake, mwamvuli ingebidi ushikwe na Bi Mkubwa
Vangigula said: Kwa ukubwa wa mwamvuli wangeweza kuutumia wote wawili. Click to expand... Dogo angeloa kwasababu ya kimo chake, mwamvuli ingebidi ushikwe na Bi Mkubwa
Rebeca 83 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 15,475 Reaction score 33,038 Sep 29, 2021 #13 man dunga said: Baba ndie alienunua mwamvuli. Click to expand... 🤣🤣🤣😊
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,371 Reaction score 14,481 Sep 29, 2021 #14 Zabron Hamis said: Hakuna kama mama (kwa wanawake) Hakuna kama baba kwa wanaume. Baba ndiye mwanaume bora na mama ndiye mwanamke bora duniani. Click to expand... Umenena vema Mkuu.
Zabron Hamis said: Hakuna kama mama (kwa wanawake) Hakuna kama baba kwa wanaume. Baba ndiye mwanaume bora na mama ndiye mwanamke bora duniani. Click to expand... Umenena vema Mkuu.