for your sad information bishanga anavaa kiatu size 12.
hala hala usije ukatobokewa na spoku ya baiskeli.
we acha tu,ukisikia shimo la nyarugusu basi jua bishanga ndo mmiliki.
nasikia ka wivu kwa mbaaaaaaali.
shemeji shuhudia siku karani wa sensa alivyokwenda kwa ruttashobolwa:Ila shemeji tuseme ukweli tu wahaya mnapenda sifa sana khaaaaa
Anajua huyu kitu basi??
Mmmh, woga wa nini??unaonyesha dalili zote za woga wewe.
shemeji shuhudia siku karani wa sensa alivyokwenda kwa ruttashobolwa:
karani:mko wangapi nyumba hii?
Rutta: infwakt tuko watano,mimi,mke wangu na three kids.
Karani:wote mmeamkia hapa leo?
Rutta: hapana,mke wangu .madam B yuko charlotte,USA mama obama alimkaribisha kwenye convention.
Karani: na wengine?
Rutta: awa fest bon koku ndo anamalizia doctorate wisconsin,rutta junior yuko masters cambridge,actualy IGSCE alipata distinction with eight A's.
Karani: na wa mwisho?
Rutta: huyo amekwenda Stutgart ku test run mrecedes made to order niliyomnunulia Madam B kwenye birthday yake,unajua ile prado kaichoka na haka ka lamborgin anasema kako too fact,actualy bora angechukua ike Dodge ambayo nimemgaia dada yake.
Karani: matibabu ya familia mnapata wapi?
Rutta: england of course hahahaha tuna family account st thomas hospital,actualy nna mafua kesho nakwenda chek up......
fanya hima turudiane mpenzi,mwenzio nakonda kwa mawazo.
ushawahi 'kupigwa' wewe? Waujua utamu wake?ushauri wa bure wakati napiga jaramba kukutia wazimu anza kula nyanya chungu,ni muhimu kwa jambo litakalokufika muda si mrefu,ngoja niagize kabisa godoro lilizongushiwa nylon chumba kisije chafuka.Anajua huyu kitu basi??
Yeye huwa ni kujisifu tu hata usiku, dakika mbili tu hoi, keshalala
Mmmh, woga wa nini??
Huu ugomvi wa Tyson na Cheka
ushawahi 'kupigwa' wewe? Waujua utamu wake?ushauri wa bure wakati napiga jaramba kukutia wazimu anza kula nyanya chungu,ni muhimu kwa jambo litakalokufika muda si mrefu,ngoja niagize kabisa godoro lilizongushiwa nylon chumba kisije chafuka.
Anajua huyu kitu basi??
Yeye huwa ni kujisifu tu hata usiku, dakika mbili tu hoi, keshalala
Mmmh, woga wa nini??
Huu ugomvi wa Tyson na Cheka
ushawahi 'kupigwa' wewe? Waujua utamu wake?ushauri wa bure wakati napiga jaramba kukutia wazimu anza kula nyanya chungu,ni muhimu kwa jambo litakalokufika muda si mrefu,ngoja niagize kabisa godoro lilizongushiwa nylon chumba kisije chafuka.