Bishanga uko juu siyo siri! Kipindi hiki umekopa bank ipi kiongozi? Hutaki hata mpambe? Madeni ushalipa weye??
nitonye!!!!!! ulipotelea wapi kamanda?@sweetlady jamani kwa nini ulimfanzia ndugu yangu? nitts huwezi amini yaani mara tu ulipopanda KLM kuelekea Harvard for your doctorate programme mkeo akaanza vibweka.Bila kupoteza muda nakuwekea singo ya mbaraka mwinshehe ikupe summary ya kila kitu:Huyu ni mmoja wapo walioficha zile hela kule uswis
nitonye!!!!!! ulipotelea wapi kamanda?@sweetlady jamani kwa nini ulimfanzia ndugu yangu? nitts huwezi amini yaani mara tu ulipopanda KLM kuelekea Harvard for your doctorate programme mkeo akaanza vibweka.Bila kupoteza muda nakuwekea singo ya mbaraka mwinshehe ikupe summary ya kila kitu:
shemeji shemeji mbona wazima taa?
shemeji shemeji wazima taa?
wewe Vin Diesel wazimia nini taa?
shemeji shemeji mbona wazima,
ni ushemeji gani huo wa kuzima taa?
shimo langu la buzwagi limetema mkuu!
Utanipa nin?