NANI KAMA BABA?

NANI KAMA BABA?

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,063
Reaction score
990
Yes,hakuna kama mama,lakini pia hakuna kama baba,kila mmoja ana umuhimu wake.
Tofauti inaletwa na mtu kutekeleza au kutotekeleza majukumu yake.
 

Attachments

  • PhotoGrid_1584865450569.jpg
    PhotoGrid_1584865450569.jpg
    96.1 KB · Views: 14
Dah kweli mkuu




Hajaacha kuniwekea mafuta ya taaa kwenye ubwabwa
 
HAKUNA ZAIDI YA BABA , MWANZO MWISHO NI BABA
Jasho lake anatafuta mahari ya kumuoa mama, anajenga family na kuisimamia kwa jasho lake,
anatoa MBEGU kwa mama kukuzaa wewe, anakusomesha n.k
 
Baba kuku bwaga ni rahisi sana lkn kwa usalama wake!! km mama hayuko sawa siyo kosa lake ni la mama
 
Back
Top Bottom