Mwalimu mgeni aliingia darasani
kwa mara ya kwanza na kuchora moyo
ubaoni,kwa vile hakuwa mchoraji
mzuri,ule moyo ulioneka ivi ivi tu.
Kwa kujiamini akauliza wanafunzi
"nimechora nini?"
Mwanafunzi wa kwanza:Mat.a.ko
Mwanafunzi wapili:Umechora mat.a.ko mwalimu
Wanafunzi wa tatu:Kweli haya ni mat.a.ko
kabisaaaah!
Mwalimu kwa hasira
akaenda kumuita mkuu wa
shule kwa madai ya
wanafunzi kufanya mzaha
darasani
Mkuu wa shule:Kwanini mnamfanyia
mwalimu mzaha?
Wanafunzi:Hatuja fanya mzaha
Mkuu wa shule:Kama hamjafanya mzaha
nani amechora mat.ako ubaoni?