Bora ubongo kuamka kabla ya mwili.Inaitwa sleeping paralysis … inaogofyaaa 😂😂😂😂
Inasababishwa na nn, sijui.
Wenyewe wanasema ni ubongo unakuwa umeamka kabla ya mwili.
🤣🤣 hiyo inawakuta sana watotoBora ubongo kuamka kabla ya mwili.
Sasa mwili ukiamka kabla ya ubongo, si ndio mtu anaenda kuparamia terekita huko inje. 😂
Kwani mwili unaweza kuamuka pasipo ubongo kuruhusu???Inaitwa sleeping paralysis … inaogofyaaa 😂😂😂😂
Inasababishwa na nn, sijui.
Wenyewe wanasema ni ubongo unakuwa umeamka kabla ya mwili.
Yeah somehow na inagopesha kinoma unafikilia kuwa itakutokea Tena unaanza kuwaza ila ikikukamata unakuwa Hauna ujanja najua wengi tu inawatokea hii.Inaitwa sleeping paralysis … inaogofyaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inasababishwa na nn, sijui.
Wenyewe wanasema ni ubongo unakuwa umeamka kabla ya mwili.
Duuu kwaiyo ndo anataka abebe rohoInatokea sana, wengine wanasema eti ndio mtoa roho anakukaba ili usiamke tena ila unapambana nae.
Sijui kisayansi ina maelezo gani
Mkuu huwezi kunielewa ila kwa aliewahi kutokewa na hii Hali wanaelewaSijawahi kuskia hiyo kitu..na nimepata shida sana kuelewa unamaanisha nini
ndio maana unashindwa kuinuka au kufanya chochoteKwani mwili unaweza kuamuka pasipo ubongo kuruhusu???
Nipo sehemu yenye hewa nzuri madirisha makubwa tu bado Sion sababu inayochangia kwa mambo ulio yataja.Mkuu, jaribu kufua mashuka, kabla ya kulala hakikisha unatandika kitanda chako kwanza, usipende kulalia foronya, fungulia madirisha hewa iingie ndani, punguza kuangalia movies za mazombi, jaribu kulala uchi ila tu usilale kifudifudi ukaja kuuponza
Usisahau mrejesho
[emoji23][emoji23][emoji23] Ulikuwa ni utani tu. Hiyo ni sleeping paralysis. Pindi unaposhikwa na usingizi completely, huwa kuna chemical inamwagwa kwenye misuli yako kwa msaada wa taarifa ya ubongo ili kusudi ubongo ukiaanza kurecall matukio (ndoto), usiote huku unatembea na kukimbia usingizini really.Nipo sehemu yenye hewa nzuri madirisha makubwa tu bado Sion sababu inayochangia mkuu.
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Hapa nimeelewa nitamuona daktari anisaidie Kuna jamaa yangu aliniambia yeye pia iliwahi kumtokea ila miaka mingi Sana imepita Sasa kwangu ni mara kwa mara inatokea.[emoji23][emoji23][emoji23] Ulikuwa ni utani tu. Hiyo ni sleeping paralysis. Pindi unaposhikwa na usingizi completely, huwa kuna chemical inamwagwa kwenye misuli yako kwa msaada wa taarifa ya ubongo ili kusudi ubongo ukiaanza kurecall matukio (ndoto), usiote huku unatembea na kukimbia usingizini really.
Tatizo la mwili wako ni kuwa, ubongo wako una delay kuruhusu hiyo chemical kuachia misuli yako kwa wakati. Hivyo unapata fahamu ilihali mwili wako uko usingizini. Na kuna wakati unaweza fumbua macho pasi na mwili kujitikisa, hii ni kwa kuwa misuli ya kope inakuwa active kipindi cha REM.
Nikisema nicheki PM nikupe mawasiliano yao nitapondwa kama mwizi hapa. Kikubwa nenda hospitali yoyote inayoeleweka watakupatia tablet au injection ambazo ni activator. Tatizo lako litaishia hapo
Si bora wewe sasa, mimi nilikuwa naamka kabisa na kuuacha mwili. Ukiwa kwenye hiyo state ukitulia tu unaamka unauacha mwili kitandaniHapa nimeelewa nitamuona daktari anisaidie Kuna jamaa yangu aliniambia yeye pia iliwahi kumtokea ila miaka mingi Sana imepita Sasa kwangu ni mara kwa mara inatokea.
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Unauachaje TenaSi bora wewe sasa, mimi nilikuwa naamka kabisa na kuuacha mwili. Ukiwa kwenye hiyo state ukitulia tu unaamka unauacha mwili kitandani
Through astral projection, ntakufundisha ufuate nini, lakini ukubali kwanza hiyo hali inayokutokea iwe mara mbili yake. Kwa kuwa tayari una suffer kwenye hiyo hali, nirahisi sana kui double