Nani hajapitia hii..

mwee labda wale wa bongo sinema kila mtu anakwambia kwao mambo safi upande wa pili wa shs utamuonea huruma
 
Utoto raha sana! Yaani hana habari kbs, na mama asipomuweka sawa yy ndio anaonekana kimeo! Ila uswazi yaani kawaida saaaaana tu
 
Utoto raha sana! Yaani hana habari kbs, na mama asipomuweka sawa yy ndio anaonekana kimeo! Ila uswazi yaani kawaida saaaaana tu
Sema ukweli kutoka moyoni mwako

Wewe utotoni hujawahi kulamba puto likiwa kama hivyo?
 
Ha ha ha ha lamba halafu hilo ni laiiin linashuka lenyewe
 
Na mama alitusafisha bila kinyaa.
Hakuna kama mama!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…