Nani bingwaaa!

DEVINE

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
536
86
Ni ndani ya JF jaza nafasi zilizo wazi;
Bingwa wa kupigwa ban.....
Bingwa wa kushtaki.....
Bingwa wa kuchangia pumba.....
Bingwa wa vichekesho.....
Bingwa wa mikwara......
Bingwa wa kuzodoa......
Bingwa wa kuchangiwa ktk thread.....
Bingwa wa kupotezewa ktk thread.....
Bingwa wa kukera.....
Bingwa wa ku pm ....
Na mabingwa wa mengineyo unayo ya fahamu zaidi ya hayo juu......
 
Sijui sana ila wengine watanisaidia:
Bingwa wa kupost ....
Bingwa wa kutoa ban.... hahahaha
Bingwa wa post za busara.........
 
Bingwa..bingwa..bingwa!!
Mi nadhani Mods pekee ndio wenye uwezo wa kufanya hizo analysis.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…