Nani baba lao?

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
[WIKIPEDIA],Najua kila kitu.....................................[GOOGLE]=>Nina kila kitu.....................................[FACEBOOK]=>Ninamjua kila mtu.....................................[INTERNET]=>Bila mimi nyote msingekuepo!................................................................[TANESCO]=>Enhee,nyie endeleeni na u.s.e.n.g.e wenu!
 

....................[GENERATOR]=> madogo msihofu, kama TANESCO akileta upuuzi mi nipo kwa ajili yenu
 
Duh,haya mkuu kuwa makini usim-emulate pampula.

nimerudi mkuu, ukitakiwa kuwahi home hakikisha unakunywa pombe kaliii,ili kuwahi kwa waif, pambula anakunywa bia nyepesi matokeo yake anakesha bar!
 
JUA.........mi nina mengi sana .....nyie tu mnashindwa kunitumia vema....
eti mkinianikia nguo ndo mnaona mmenitumiiiiaaa................nikiwaka kidogo
tu mara TANESCO anaanza kulalama maji yamepungua ...........
 
UPEPO......mi ndo baba lao... napatikana 24 hrs tofauti na bwana mdogo jua 12hrs.
mi sina mgao wala masharti... usiku na mchana napatikana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…