Nani awatoze kodi akina dada wanaojiuza?

Concluder

Member
Feb 29, 2012
9
0
Wadau hakuna asie tambua uwepo wa makahaba, serikali inatambua uwepo wa biashara hii haramu lakini hakuna juhudi za kuipinga tafsiri yake ni kwamba wameiruhusu, je nani awatoze kodi wafanyabiashara hawa?
 
Mrinaaa,shivazi arushaa malaya wanalipaa kodi kilaa siku wanatoa elfu mbili ya ulizi,ili wasibunguziwee usipo toaa huuzi
 
Kama wataka walipe kodi.

NANI ATAWALIPA RISK ALLOWANCE?
hapo sasa-hakuna wa kulipa-na pia watadai wawe na insurance nyingine kama za health insurance n.k
baadhi ya nchi za ulaya wanalipa kodi na wanafanya biashara yao kawaida
 
Bora hata hiyo kodi isiwepo maana kutakua na mfumuko wa bei wa hiyo kitu.
MP.
 
Mrinaaa,shivazi arushaa malaya wanalipaa kodi kilaa siku wanatoa elfu mbili ya ulizi,ili wasibunguziwee usipo toaa huuzi

Hiyo sio kodi kaka...
Sheria za inji ya kwetu zinaruhusu TRA au halmashauri kutoza kodi.
Halafu umeshasema kuwa hiyo ni hela ya ulinzi, halafu tena unaiita kodi.
 
kikubwa nnachoshindwa kuelewa ni kwamba serikiali inatambua uwepo wa biashara hii lakini ipo kimya kama hawalioni na makahaba wanazidi kuongezeka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom