Tumeona Wa Iran wanavyotumia bendela ya Tanzania kwenye meli zao(yapata 36)kukwepa UN sanctions.
Tumeona drug dealers (Raia wa Syria & Egypt)juzi tu meli yao (Tanzania registered) wakiiteketeza moto ikibeba hashish yenye value ya £50m sawa na zaid trillion 120 za Kitanzania.
Achilie mbali ya meli ya Katibu wa CCM kushikwa Far East na nyara za serikali.
Tumekuwa a big joke, najiuliza hawa Waarabu na Wairanian wana ubavu gani kutumia bendera ya Tanzania? Kwa nini wasitumie bendera ya Pakistani, Somalia etc?
Pia soma:

- El Salvador yakamata tani 6.6 za cocaine, meli iliyobeba unga ina bendera ya Tanzania!
- Iran yakamata Meli 2 zenye bendera ya Tanzania zikidaiwa kusafirisha mafuta ya magendo
- Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania na Panama yakamatwa Irani kwa magendo ya mafuta
- Meli yenye bendera ya Tanzania yakamatwa ikiwa na Dawa za Kulevya tani 1.6