atoke kiaje...mbona haueliweki, atoke kimauzo kuuza copy au otoke katika usanii....!??.....kama kimauzo ni lazima wafanye hivo kwani wao ni vijana wanapigana kuweka maisha katika mstari mnyoofu na kama ni kuachana na swala zima la usanii nahisi hiyo sio kazi yako...!!!