Mkuu CCM ishajifia, na hao unaowaona ni wahuni tu….ila bomu wanalotengeneza likija lipuka kwa mara nyingine itakuwa hapatoshi…hao ni marehemu watarajiwa..chuki iliyotengenezwa na haya mauaji…moto utakuja kuwaka ni swala la muda…kama vyombo vya ulinzi na usalama hawalioni hili…basi Mungu amewatia upofu ili jambo liwakute wote…lakini haki lazima itafutwe kwa namna gani, ndo inafikirisha na kuogopesha.
Tumeruhusu akili ndogo ituongoze ndiyo madhara yake hayo. Ama kweli hujafa hujaumbika! Leo Tanganyika tunashuhudia binadamu akifananishwa na sisimizi? Maana sisimizi unapita tu unawakanyaga, unawasagasaga bila kujali wewe unaendelea na safari mama yenu ameua sisimizi ndiyo maana hajali anaendelea kuteua na kuapisha tu!.Gen-Z waamue hatima yao!Taifa liko kwenye mkwamo wa vifo vya maelfu, maombolezo ni kila kina, vilio ni kila mahali matanga ni kote
Wengine wamezika nguo... Wengine bado wanawatafuta wapendwa wao, sintofahamu ni kubwa sana kwa ambao hawajulikani walipo ... Majeruhi ni wengi, acha walio mahabusu na wale waliopewa kesi za uhaini... Tusiwasahau na waliofichwa kwenye nyumba za siri za mateso
Kwa mshangao mkubwa na taharuki ya kuishangaza dunia ccm kwa kushirikiana na mamlaka wako busy kuapishana bungeni na kupeana vyeo
Hakuna kauli ya chama
Hakuna kauli ya serikali
Hakuna kauli za viongozi
Wote wako kimya as if nothing bad has happened!
Ninini hiki lakiniTanganyika inapitia!?😭😭😭
View attachment 3501388
Nendeni mkayawekee sumu!Wako hapa wanapiga Ulabu hakuna hata anaejali.....
ExactlyNdugu yangu mshana wewe ni mtu wa maana sana, itoshe kusema kwamba hawa watu wanamwisho wao pia, mbio za sakafuni huishia ukingoni.
Kuna Muda mtu unatamani kabisa... Ila Ipo sikuNendeni mkayawekee sumu!
Ninachofikiri ni ama tuu Luca arejeshewe ubongo wake kwani inaonyesha anao ushawishi!Taifa liko kwenye mkwamo wa vifo vya maelfu, maombolezo ni kila kina, vilio ni kila mahali matanga ni kote