Nani atashinda hapa?

Nani atashinda hapa?

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Posts
19,042
Reaction score
22,593
Who will win this....jpg
 
Silaha kali ya mwanamke ni ulimi.Kama huyo demu ni stadi wa kurap kama walivyo mademu wengi, huyo mjamaa na misuli yake atakimbia tu huku akibwabwaja:Ntakuvunja wewe!

..ha ha ha, Hivyo ushindi wao ni batili!
 
Silaha kali ya mwanamke ni ulimi.Kama huyo demu ni stadi wa kurap kama walivyo mademu wengi, huyo mjamaa na misuli yake atakimbia tu huku akibwabwaja:Ntakuvunja wewe!

Mhhhhhhhh mkuu Me wa TZ umtolee ulimi namna hiyo, atakutoa roho mazishi saa kumi, labda wanigeria. vinginevyo mlango uwe wazi na mguu mmoja nje.
 
Kama wife angu anae mdom ila ukisema umpge anakuwga mdgo sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom