Mpwa nipe hint nifanye kazi fasta
Kwanza nina wasiwasi na jinsia yake, jinsia anayojitambulisha nayo siyo yake...posts zake zinajieleza wazi kabisa.
Huyu ndata anajitahidi sana kubadili mwandiko....
mwaaa..! mzima my mimisa
mi mzima tu sana@manoah
Paloma mwenzio nilikuwa Kenya hapo nawabembeleza mabinti wa kijaluo.. Wanalia kaka yao kashindwa uchaguzi.. Nyie mabinti wa kibongo hawapendi kubembelezwa na wanaume.. Huyu kwanza polisi gani.. sio polisi katuni kweli..?
eeehn....kama nakuona ulivokuwa umewakumbatia...........hujaopoa hata mmojakurudi naye bongo aje acheke na prezoo wetu..?
Mh mmoja anasema yuko tayari kuja huku ila nimtafutie kazi minimum wage ya kuanzia anataka dola 800.. Kisa ana degree ya uhasibu..! Nikamuambia long distance relationship's workin fine with me.. Afterall hapo Nai wala si mbali.. si balaa hilo Paloma..?
balaa gani tena!?!? huwezi au? umeshazoea vya laki 350........!!! pole wee
Ha ha ha.. mdogo wangu ana masters ya finance na analamba karibia hapo Paloma na yupo kwenye moja ya mabenki hapa.. sasa yeye na kamoja kake.. hapajui bongo palivyo.. Sitaki stress wala presha mie..