Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
niambriiiiiiie wa ukweli!
afande atajibeba mwaka huu
wote huku washawahiwa sijui atafanyaje
asijetubambikia kesi bure!
hahahaaa!chezea manoah wewe
we Polisi ben umeona
staki ushahidi heheee!
Acha kunikatisha tamaa inamaana hakuna humu chit-chat hata mmoja alie single c vizuri hivyo siamin mpaka nione mwisho wake
hahahaaa!chezea manoah wewe
we Polisi ben umeona
staki ushahidi heheee!
sio mbaya sijui ww kwa upande wako!
hahahahahahahahaha,,,nimempata leo anatamani anishoot lakini wapi navizia ahame jukwaa hili atembelee mahali af aone kitu nitafanya huku nyuma kumbe lile povu lile ni sababu ya kutaka kunisontesha kwa mimisa haki ya nani ckati tamaa
hivi Polisi ben IDs zako nyingine
ni zipi?umeamua kubadilisha ili?
hahaaaaa!tchaoooo!
hivi Polisi ben IDs zako nyingine
ni zipi?umeamua kubadilisha ili?
hahaaaaa!tchaoooo!
Achana nao hao wana wivu tu mm ni yule yule we nitafute utaniona tu kila kona ya jf labda wao waseme nilikuwa na ID gani
unatafuta mshale wa sumu ww!
Jiangalie mkuu Polis Ben nakuomba msiniwekee kiwingu na mpenzi wangu
Mpenzi mwenyewe hakupi sapoti yeyote humu au kashakutema mambo MIMISA hv a nice day
Wakuonee wivu kwa kipi ulicho nacho?
nina shemeji anapenda na kunijali na anahangaka kunitafutia m,,,,,,z ndo maana hayupo humu anaitwa M,,,,,a