Polisi ben
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 303
- 83
- Thread starter
-
- #41
Mkuu kua na
ustarabu basi wenyewe humu tuna heshimiana sana humu ndani na hauwezi
kuta tuna tamkiana maneno mabovu kama wewe unayo yatoa
Kwa hiyo lugha yake nzuri yangu ndio mbaya HAKUNA KITU NACHUKIA KAMA MAGAMBA KUNIFANANISHA NA MWIGULU KWANGU NI TUSI KUBWA SANA af usinitishe mkuu.
Sikutishi ndugu ila ukae
ukijua mie ni mtata mala 100! zaidi yako na ni mstaarabu mala 100! zaidi
yako, so chagua nije kitata au?
Manoa
unajaribu kuniharibia cku tu ok unataka nn nikupe ushindi UMESHINDA think twice broo KUMFANANISHA MTU NA MWIGULI cjui kama na reply tu au unasoma kwanza alichoandika UNAPOSEMA NIICHAGUE UJE unataka uje na matusi au? ok broo wewe ni mtata CHAGUA LA KUFANYA
ah ah! Kumbe mlaini ivyo
yani unatishwa nawe unatishika ah ah! Mkuu humu ni cc inabidi upazoee tu
utani ni mwingi sana humu so kwa ambae mgeni anaweza
changanyikiwa
Manoa
mkuu una utani sana,hata hivyo kuna kitu umenifundisha hili jukwaa halifai kuja na sura ya kazi ngoja nipungze speed mana Arushaone na wengine watakuwa wamecheka balaa SASA NAAMINI PAKA HAKAI KWA NYUMBA YA MSELA tuko pamoja manoa taratibu nitazoea tu maadam nimeingia
Poa poa kamanda tuko pamoja mkuu wangu, au usemi usemao panya akai kwenye gheto la masela ah ah! Usijaribu kumzengea mpenzi wangu mimisa maana semeji yangu wa ukweli Passion Lady anadai kakusonteshea
Nina wasiwasi na hii ID...ngoja niwapigie simu mods nitete nao kwa kirefu hiki kichaka nani kakisogeza huku...
sijamsonteshea wala nn
nilikua nakurusha roho tu!
Nina wasiwasi na hii
ID...ngoja niwapigie simu mods nitete nao kwa kirefu hiki kichaka nani
kakisogeza huku...
Aaaaangrrrr sasa nawewe mbona unabadilika tena au umemwogopa huyo shemejio,,,pouwa basi mtonye mimisa anpm tusalimiane tu yan salamu c unajua kufahamiana?
Polisi ben wewe ni shoga?
Kulikoni wataka oa mwanaume mwenzio?
Kwani nini jamani Passion Lady ?
Usiwaambie bhana siunajua leo ndio weekend ntaboreka mwenyewe