Ukweli wa mambo upo wazi Sasa kuwa Mambo yameharibika,zama za upigaji zimerudi,wananchi wamechoka ,watu wamekata tamaa,vitu vimepanda bei.
Kila Kona vilio na majuto hakuna furaha tunadanganywa mchana kweupe,ubadhilifu na matumizi mabaya ya Pato la taifa.je wanasiasa wamefungwa midomo? Je, wazalendo hawaoni? Je wanaharakati mbona hawapazi sauti?
Nchi inaenda mrama nani atakaye mfunga paka kengele tujitoe Kama Malawi walivyofanya kwa Joyce banda.
Kwamba tusubiri hadi 2025 atakapo mwachia Mwinyi?
Je, akiendelea?vipi kusuasua kwa miradi mikubwa ya kimkakati?vipi kuhusu kupanda kwa gharama za maisha bila kupanda kwa mishahara?
Vipi kurudi kwa kundi la mafisadi na kupewa vitengo?
Je tumemkosea wapi Mungu [emoji24][emoji24]
Tanzania nchi yangu?