Acha ujinga,ujiue kisa milioni na nusu?.muache aende Polisi mkaandikishane,pambana mwanaume huwa hakati tamaa kiboya.....PAMBANA.Nina deni la milioni moja na nusu niliyokopa kwa ajili ya kufanya biasha,pesa hiyo nimepata hasara na sijui pakuitoa. Aliyenikopesha anadai kwa nguvu zote,amesema ikifika januari 5 tunaenda police. natamani hata kujiua kwani sina amani,raha na furaha. naishi maisha magumu yasiyo na muelekeo nimepoteza dira. USHAURI,MSAADA WENU TAFADHALI.
Imekaa vizuri sana hiyo wala usiogope ni kesi ya madai hiyoNina deni la milioni moja na nusu niliyokopa kwa ajili ya kufanya biasha,pesa hiyo nimepata hasara na sijui pakuitoa. Aliyenikopesha anadai kwa nguvu zote,amesema ikifika januari 5 tunaenda police. natamani hata kujiua kwani sina amani,raha na furaha. naishi maisha magumu yasiyo na muelekeo nimepoteza dira. USHAURI,MSAADA WENU TAFADHALI.
Ilikuwa pesa ya riba nilikuwa na mdhamini tu anayenifahamu vzur sikuweka k2 chochote zamana sasa nimeeleza halihalisi naonekana tapeli. HALI NI MBAYA
Hiyo ni kesi ya madai, polisi hawahusiki nayo!Nina deni la milioni moja na nusu niliyokopa kwa ajili ya kufanya biasha,pesa hiyo nimepata hasara na sijui pakuitoa. Aliyenikopesha anadai kwa nguvu zote,amesema ikifika januari 5 tunaenda police. natamani hata kujiua kwani sina amani,raha na furaha. naishi maisha magumu yasiyo na muelekeo nimepoteza dira. USHAURI,MSAADA WENU TAFADHALI.
Naomba nikuchangie elfu kumi mkuu.Gharama za kukuzika ni kubwa mnoo na majonzi juu.Sitaki huzuni.Nina deni la milioni moja na nusu niliyokopa kwa ajili ya kufanya biasha,pesa hiyo nimepata hasara na sijui pakuitoa. Aliyenikopesha anadai kwa nguvu zote,amesema ikifika januari 5 tunaenda police. natamani hata kujiua kwani sina amani,raha na furaha. naishi maisha magumu yasiyo na muelekeo nimepoteza dira. USHAURI,MSAADA WENU TAFADHALI.
Kama ilikuwa ni pesa ya riba ndio vizuri, mtu au taasisi huwezi kukopesha kwa riba bila lesseni ya BOT, maafikiano hayo yalikuwa batili. Huyu kama anajitambua hawezi kukupeleka mahakamani, ningekuwa karibu ningekusaidia bure ujinasue na ukanjanja wa huyo jamaa.Ilikuwa pesa ya riba nilikuwa na mdhamini tu anayenifahamu vzur sikuweka k2 chochote zamana sasa nimeeleza halihalisi naonekana tapeli. HALI NI MBAYA