Nani atahesabu kura za kupitisha Rasimu?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,348
Reaction score
26,145
Nani atahesabu kura za NDIYO na zile za HAPANA ili umma wa watanzania ujiridhishe kuwa Rasimu imepitishwa au imekwamishwa kwa akidi itakiwayo na Sheria? Hii lazima ijulikane mapema kwakuwa tangu kuanza kwa Mkutano wa Agosti,imesemwa kuwa akidi ya kupitisha Rasimu haijatosha. Tunataka kujua kama imetosha na imepatikana kweli kikura.

Watanzania wangependa kujua mhusika mkuu wa upigaji na uhesabu wa kura...
 
UKAWA si mlijiweka pembeni? Sasa mambo ya kuhesabu kura yanawahusu nini?
 
hiyo inayojadiliwa bungeni sio katiba tunayoitaka bali hicho kinachofanyika ni utungaji wa kitabu cha hadithi cha TANZANIA baada ya miaka hamsini.
 
Nawashauri UKAWA kutokugombea nafasi yoyote itakayotokana na hicho "kitabu cha hadithi!" Otherwise, watachekesha walionuna!
 
Back
Top Bottom