NANI atafananishwa na MANDELA

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
Ni kiongozi yupi duniani hii leo anaweza kufananishwa na hayati Nelson Mandela, au muda wa viongozi mfano wa Mandela ulikwisha? kiongozi kama Mandela atawahi kuwepo duniani, acha Afrika, duniani tu, je yupo?
 
Labda Papa kama ataendelea kutoroka usiku kwenda kutoa misaada mitaani basi atapata nafasi angalau nusu ya mandela
 
Back
Top Bottom