mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,873
- 18,433
Inaonekana kwa sasa ni kuwa ubingwa was EPL ni mbio za farasi Wawili; Leicester city na Tottenham!
Nani kati ya hawa unadhani ataanza kudondosha pointi? Mechi mbili zijazo kwa Tottenham atacheza na Liverpool kisha atakipiga na man u. Na mechi mbili zijazo za Leicester city ni Southampton na Sunderland!
Je kwa hatua ligi ilipofika kuna uwezekano UPI wa farasi hawa kupoteza halafu taji liibukie kwa wakongwe man u, man city, arsenal au Chelsea? Karibuni wadau tudadavue!