Andrew Mushi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 630
- 696
Hayo ni maneno ya mjasiriamali wa kihindi, anayesema baada ya kuitia mkononi dhahabu isiyozidi gram 50, baada ya kazi kubwa ya kupepeta na kuchambua magunia 350 ya mchanga ktk mazingira hatari ya kiafya na environment.
Pata picha ya .003 % ya dhahabu, makelele ya wanasiasa na somo la smelter!
Please watch
Pata picha ya .003 % ya dhahabu, makelele ya wanasiasa na somo la smelter!
Please watch