Ndg zangu naombeni mnisaidie hili....Nani asimamie haya au hakuna sheria?.Nimekua nikiona mara nyingi maneno yasiyo mazr yene mwonekano wa UCHOCHEZI, KUFURAHIA AU KUUNGA MKONO, vitu ambavyo si vizuri..Mfano unaweza kukuta magari , Saloon , vijiwe nk ..vimandikwa A-Shabaab..mara Boko haram, Osama bin Laden..Gaidi la mtaani ..kubwa la maadui ..Gun men..na Leo nimeona Westgate....