Nani aondoke madarakani baada ya miaka kadhaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani aondoke madarakani baada ya miaka kadhaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Jan 29, 2011.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ni CCM au Raisi ?
  Kipimo cha wanaoondolewa kwenye madaraka kwa nguvu za umma ni viongozi waliokaa madarakani kwa mida mwingi sana.
  Kwa hapa kwetu Raisi aliepo madarakani huwa hatimizi zaidi ya miaka kumi ,inawawia vigumu wananchi kuelewa kama ni dikteta au sie,ila Chama kinaonekana kuwepo zaidi ya miaka 40 madarakani ,Chama kinaweza kikahesabiwa kama dicteta ,hivyo inawezekana kuanzisha madai ya Chama kiondoke madarakani kutokana na matatizo iliyoyaleta na kushindwa kuyapatia uvumbuzi ? Chama kimelisababishia taifa madeni makubwa ?
  Halikadhalika wizi unaofanyika ndani ya serikali unaosababishwa na rushwa kubwa kubwa na ndogo.Kwa maana hii Chama kitakuwa kimeshindwa.
   
 2. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  :roll:Wote wawili,:roll: tumeshakichoka chama cha Kifisadi, Chama chenyewe kinaongozwa na Wanajeshi na Mapolisi waliostaafu ndio wakiwa viongozi yanakuwa majeuri, mibishi na inatuingiza mkenge kwa kulitia taifa hasara kwenye mikataba feki kwa kuwa haikuenda shule imeishia std 7, 10% zimekuwa nyingi wamtoka nazo wakati wakiwa bado hawajastaafu kwenye ukachero wa kumuibia mlalahoi pesa yake ya kula wakiingia serikalini kazi yao ni kuomba 10% na kutugharimu sana katika taifa. Ushauri wa bure kwa ccm wajue kuwa hatuwataki tena na kama ikiwezekana chama chao kifutwe na mafisadi wote wafikishwe mahakamani ili wakanyie Debe. Mafisadi hawa papa Mkapa, Kikwete, Lowassa, Chenge pamoja na mume wao Rostam na wengine wote waliloligharimu Taifa wanatakiwa kunyongwa haraka sana:laugh:
   
 3. t

  tweve JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 696
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ccm ndo haitakiwi kabisa,imetutia umasikini wakt mwenyezi mungu alitujalia utajiri mwingi,lkn ccm na mafisadi wake wametufilisi .hatuwataki tena
   
 4. t

  tweve JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 696
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  2015 si mbali ,ccm waondoke na rostam wao watuachie nchi yetu.
   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Does not matter umekaa siku ngapi kama umeshindwa kazi even 5 years in more than enough....., mambo yakienda kombo its the person incharge ndio inapaswa awajibike... better still yeye na chama chake wote ni answearable
   
 6. t

  tweve JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 696
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wote hawatakiwi hata bure
   
 7. R

  RICHMAHOO Member

  #7
  Jan 30, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  :A S 20::clap2:.it is begining of the ends. keep it up
   
 8. anti-fisadi

  anti-fisadi JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna hoja ya msingi hapa,chama hakitakiwi kitawale miaka 40 sijui peke yake,kwanini chama kisipewe maximum miaka let say 15 kiachie vingine. Huu uozo tunaoishi nao 50 yrs sasa ndio unatuponza. Wamejisahau sana hawa vyura, na sie tunawafuga tuuu...
   
Loading...