julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
- Thread starter
-
- #21
Nina busara,muonekano wa upole japo ni mcheshi na naweza kusocialize,najua nini mwanamke anahitaji anapokua katika mazingira au hali fulani(kifupi najua kufanya mapenzi na kupenda), najali mwenzangu kwanza then mimi(namaanisha ukiweka dhahabu na shaba alafu tuko wawili niambiwe chagua wewe kwanza ntachukua shaba),Kifupi najali napenda maendeleo,siasa ila mapungufu yangu ni nikikuvua chupi nikakuta uchafu sidindishi,siwezi mapenzi ya kutumia nguvu na nahisi naijali afya yangu sana hata kama ni mpenzi lazima tupime na maanisha!Kwani wewe Ukoje? tujue kwanza ulivyo tutakushauri nani atakufaa
sa majibu yoote unayo,ya nini kutuchosha wenzio aii
sikuwachukuwa siku moja kila mmoja aliongezewa mtu kutokana na mapungufu hayo lakini nimegundua nakoelekea sibahatiki so natafuta suluhu sikuwa na lengo la kuwa na watatu! nilianza na moja lakini nilikuta heli jana kuliko leo!kwani hao watatu hao hukuwaza ya kuitwa lover boy
Namtangaza au namtafutia suluhu?upendo ni nini? kutunza siri?acha uongo yaani demu ulimenda uje kumtangaza hapa jamvini hizi stori za shigonga hizi sio kabisa..
sikuwachukuwa siku moja kila mmoja aliongezewa mtu kutokana na mapungufu hayo lakini nimegundua nakoelekea sibahatiki so natafuta suluhu sikuwa na lengo la kuwa na watatu! nilianza na moja lakini nilikuta heli jana kuliko leo!
I'm not too confident and let them down sir i want them to be safe!Way too presumptive
Vipi tukipata dharura tukalala Hotelini au tukasafiri na kuwa wageni wa jamaa au rafiki wa karibu tukalala huko au yeye akapata dharura na kwenda kulala kwa ndugu au jamaa/rafiki inakuwaje sasa? huoni hiyo wasiwasi itanisababishia madhara kisaikolojia na kupunguza radha ya ndoa?
Way too presumptive
Nina mahusiano na wasichana watatu wenyesifa zifuatazo:-
WA KWANZA
. Mpole, anaweza kazi zote (kitandani na nyumbani), mzuri wa muonekano, busara na heshima ila anakojoa kitandani
WA PILI
.Mapepe, mvivu wa kitandani ila kazi za nyumbani anaweza, mzuri wa sura, ana dharau kwa watu wengine wakiwemo ndugu zangu,msafi ila muongo na anapenda kusifiwa.
WA TATU
.Mcheshi, msafi wa mwili, ana tabia nzuri,ni wa wasitani katika kazi zote, mzuri wa muonekano ila ananuka mudomo na kikwapa hata apige mswaki na kuoga vipi!
Ushauri wako ni muhimu sana!
Unatimiza ule msemo kuwa jambazi hamuamini mtu huhisi kuibiwa na kila mtu hudhani ni sawa na yeye la hasha si kweli kaka jina hilo ni sahihi, mahinya ni wengi na julius ni wengi ndio maana natumia yote kama yalivyo, hii social network inawatenda wanao itenda so ukiona unajificha ficha mauti yatakuumbua!
Nina mahusiano na wasichana watatu wenyesifa zifuatazo:-
WA KWANZA
. Mpole, anaweza kazi zote (kitandani na nyumbani), mzuri wa muonekano, busara na heshima ila anakojoa kitandani
WA PILI
.Mapepe, mvivu wa kitandani ila kazi za nyumbani anaweza, mzuri wa sura, ana dharau kwa watu wengine wakiwemo ndugu zangu,msafi ila muongo na anapenda kusifiwa.
WA TATU
.Mcheshi, msafi wa mwili, ana tabia nzuri,ni wa wasitani katika kazi zote, mzuri wa muonekano ila ananuka mudomo na kikwapa hata apige mswaki na kuoga vipi!
Ushauri wako ni muhimu sana!
Umeona eh?ni HELI ya leo kuliko ya kesho..,
Ahaaa aaahaaa! he he he ! teh te te !!!!!!!!!!!!! Naona unamaanisha niendelee kuongeza idadi nikikuta call waiting nasonga pengine, nikikuta not reachable tena mbele, nikikuta your call rejected nasonga eh?Waombe wote 0713 atakayekubali oa lol!!!!!
Dude!...Are yo out of ya senses?
Umeona eh?
Kaka mkubwa sio watu wote hufanya hivyo ingawaje wapo baadhi huamini katika hiyo nadharia...Kaka mkubwa kumbe unatakiwa kuwa na sample space kuchagua wa kuoa?
Halafu hao wote ni wchumba au marafiki?